Vodacom Hawajitambui.

Vodacom Hawajitambui.

Kwa kweli voda wamekuwa vichomi. Sema tuu hatuna sehemu ya kusemea haya. Mahali wanakera ni kwamba unaeweka vocha sana ndio unazidi kupandishiwa bei na asiyeweka kabisa anazidi kushushiwa. Baada ya kuchoka niliamua kuhamia hallotel ikawa nafuu kukiko voda.
 
Sijui wamewaza nini. Narudi zangu Tigo na mimi. Kwanza wanavyoiba sasa. Hizo MB 500 utatumia whatsapp tu ila masaa 8 hayaishi eti umemaliza.
Kumbafu zao
tigo nao wameanza upumbavu.

inaonekana wanalala kitanda kimoja,nao wameshusha,kutoka GB moja mpaka mb 500.
 
Na mm nawahama hawa
IMG_20190627_074908.jpeg
 
Voda wapigaji tu kama walivyo wapigaji wengine.

Nyambaaaff

Smart guy
 
Mitandao ya uhakika na bei rahisi IPO. Huko voda mnafuata nini?
 
hivi ceo wa voda ni mkenya? isije ikawa ndo anatukomesha waTZ taratiibu
 
TTCL sina imani nao sana n wao.
Niliendaga Tarime mjini kabisa ikawa inasoma R

huko mbali hapa tu dar tena maeneo karibu na city centre kitu kinasoma R aisee ni aibu na waache kugongea minara ya watoto wao kama tigo na airtel.
 
Vifurushi vya vodacom vina badilika badilika kama wateule wa Jiwe. Leo huyu, keaho unasikia katenguliwa amewekwa mwingine.
 
voda nishawakimbia wanasumbua sana, pia customer care za Moshi ni mbuvu dunia nzima, waudumu wanajibu vibaya hasa kwenye jengo jipya la NSSF kunajamaa mmoja mnene mnene hivi anajisikia vibaya sana usipo jizuia lazima utoke umekasilika ukiingia ofice zao and than they don't care VODACOM MOSHI JILEKIBISHEN BORA UWENDE KWA VISHOKA KU RENEW LAINI KULIKO KWENDA OFICIN KWENU
 
Back
Top Bottom