Vodacom Hawajitambui.

Vodacom Hawajitambui.

Screenshot_20190627-213642.jpeg

Mi nipo zangu huku..
 
Huwa nawashangaa sana wanaotumia voda kwa huduma ya kupiga Simu na internet,gharama zao ziko juu na vifurushi vyao ni vya kipuuzi sana,Mimi mdau Wa Airtel kwa sh 10,000 unapata dakika 450 mitandao yote na mb kibao kwa mwezi,kwangu Mimi airtl ni mkombozi
Airtel haina 4G. Ina 3G tu.
 
Karbu tgo mzee. Hizo 10 gb unazipata kwa 10k tu. Plus madakika na mbs kibao. Kwa mwez mzima
Nina laini ya tigo toka wakati wa Buzz. Almost miaka 15 sasa.

Ila ipo kwa ajili ya kupokea.
 
hawa samaki ni wapuuzi.

yaani jinsi unavyozidi kuwa mteja mtiifu kwa kuwachangia mia mia zako,ndio nao wanakufanya ng'ombe wa maziwa.

mimi ya kwako tu kwa siku ilikuwa gb 1 na dakika sms kibao nikawa naridhika safi tu,he ghafla naamka siku moja mwezi uliopita nakuta wameporomosha mpaka 500mb,nikawadharau kabisa.

kabla sijawapa taraka nikawakopa kabisa,huku nasonya.

UPDATE:

hatimaye tigo nao wameamua kuunga mkono huu utapeli.
Hapo kwenye updateumenivunja mbavu
 
😂😂😂😂😂
Kifurushi changu pendwa kimeingia doa.
Nikiwa mtumiaji mkubwa wa internet hiki kilikuwa kifurushi changu pendwa.
Tsh. 2500 kwa 500MB ni unrealistic hata kama una hela kiasi gani.
Sitawahama voda, ntaendelea kutumia kwa kupiga na sms.
Ila kwa upande wa internet ntatumia Smile. Kwa Tsh. 14500 napata 10GB ambayo unaipata kwa Tsh. 50K kwa voda.
Kwaheri internet ya voda.View attachment 1138880
 
Back
Top Bottom