Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,155
Ujinga wa halotel hio 1GB yao ni kiini macho tu, wanakupeni 600MB unadanganywa ni 1GB ukiingia youtube na instagram kidogo tu ishaisha.
mie wamentumia sh.50 eti gawio. Wasenge kweli hawa mbuzi wa hitima





Juzi nimekaa naona m pesa text nikajuwa labda Kuna kiumbe kimenikumbuka kumbe gawio eti sh 119 daaaah
