Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,388
- 191,462
labda kwa sasa maana niliwabullshit nadhani ni zaidi ya miezi 6 sasaAcha uongo mkuu mimi nimedownload zaidi ya muvi 3 kwa GB 3 hizohizo
labda kwa sasa maana niliwabullshit nadhani ni zaidi ya miezi 6 sasaAcha uongo mkuu mimi nimedownload zaidi ya muvi 3 kwa GB 3 hizohizo
Mpk iwe ya chuo lakiniAisee hii afadhali..ngoja nihamie huko
[emoji848]TTCL wananiboa kitu kimoja...ukiwa na MB huwezi nunua kifurushi kingine kabla hujamaliza MB ulizonazo,ukijiloga tu eti ununue mb 500 mara mbili ili upate 1GB imekula kwako. (hela wanachukua na kifurushi hupati unabaki na mb 500 zako)
Yes, unfair treatment.[emoji848]
cute b
Am totally bewildered.... I don't know where I should touch[emoji1698]Yes, unfair treatment.
Hahahahah, just stay strong.Am totally bewildered.... I don't know where I should touch[emoji1698]
2nd time for me to be strong [emoji2159]Hahahahah, just stay strong.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu mna maneno jamaniVODA kama Kiongozi Kijana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu mna maneno jamani
Mkuu kwani we wapi mpaka tarime mjini inasoma RTTCL sina imani nao sana n wao.
Niliendaga Tarime mjini kabisa ikawa inasoma R
Mimi wa DarMkuu kwani we wapi mpaka tarime mjini inasoma R
Unakuja lini mkuu huko ulikosema inasoma RMimi wa Dar
Next week inshallah. Nikiokota ticket mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakuja lini mkuu huko ulikosema inasoma R
Hao jamaa usipojua makato yao utalia... Kuna siku nilikuwa nawalipa watu toka Bank kwenda Mpesa mbona nilijuta..Jamaa wana mambo ya hovyo sana voda,siyo bando ti,leo nmetuma hela kutoka mpesa kwenda benk nmekatwa hela nyingi utafikiri wananikomoa,mi na voda kwa heli ya kuonana sitaki hata kuiskia *****
Au sio PyepyepyeNext week inshallah. Nikiokota ticket mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]