Vodacom free internet yet again :)) COMPLETELY OWENED.. do it FAST

Vodacom free internet yet again :)) COMPLETELY OWENED.. do it FAST

Yaani we acha tu! watu tunamizigo kibao ya kushusha ipo waiting list.

halafu voda wameua zaidi kwa kubana zaidi kwenye cheka ya usiku kutoka unlimited mpaka gb moja. kudadadeki huu mwaka wa shetani
 
Mkuu msaada hapo ktk zantel bando zao mooooto. wafanyaje? mana napumulia tigo zantel yupo kabatn
lakini pia ile ya zamani kupitia mozila nayo inapiga mzigo kama kawa.

na zantel pia mimi nakula vitu.

thanks mkuu
 
Back
Top Bottom