Vodacom: Bahati Nasibu na Hyundai!

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
Imetokea kwamba jina lako limetokea kushindania Hyundai i10 ya Vodacom leo usiku! Tuma tu jina lako kwenda 15544 kushiriki sasa! Bei Tshs 550/Ujumbe

Vodacom:

On a very serious note - Hizi SMS zenu zinanikera!
 
mafisadi hao
Bahati nasibu zote wanapataga wenye nazo.
Yaani mi siwaelewielewi msinitumie tena upumbavu wenu huu.
 
Mimi wamenikata kabla hata sijaamua kucheza...BTW nasikia kuna wateja wamewapeleka mahakamani kwa kuwasababishia uziwi
 
Na hiyo bahati nasibu haijulikani inaendeshwa vp!!! wanaiba pesa nyingi sana kwa siku!!!
Nani washindi wa wiki hii? (utaskia wote wanatoka arusha moshi) kudadadeki, kufanya kazi voda kitengo flani RAHA!
Tanzania miradi mingi tu, serikali iko likizo. By the way, hv matrekta na maroli ya bahati nasibu ya mwalimu bado yako china?
 
Ningecheza kama ni bahati nasibu ya kuchangia ujenzi wa shule,zahanati,barabara nzuri..
HATUHITAJI SAMAKI.......TUNATAKA TUFUNDISHWE KUVUA SAMAKI...
 
VODA INA wateja wangapi kwa haraka haraka?.....

ni kama 5million minimum(hapa nawazungumzia frequent users)

sasa iwapo kila mtu atatuma meseji moja kwa siku?....ni kama 550*5000000=2.75billion
haya sasa tuendelee...!kama watatuma kwa siku 100?:2.75bn*100=275bn
okay tuitoe hiyo billion 75 kwaajili ya initial costs za ufisadi.i mean hayo magari kwa bei yao ya ''uongo'' ya milion 12.(mara 100),na gharama nyingine za kulipia eneo la tukio,kulipia vipindi vya television,etc

SHAURI ZENU!
 
  • Tanzania tusipokuwa macho tunaibiwa bila kujua.
  • Tanzania ni shamba la bibi by : John Pombe Mgufuli
  • Tanzania wezi wanabarikiwa na serekali iliyoko madarakani
  • Tuwashutue ndugu zetu walioko huko vijijini wasije ingia mkenge kama wa DECI.(Serekali ina mkono wake) Ushahidi upo.
 
Lakini 100 mkokoz are there, at least we return something to society, Africa Germ, Maremeta, Deep Green, Richmond n.k what wamerudisha nini kwa society kwenye faida yao? au kampuni yenu Tanesco, TTCL? sana sana kuwadanganya wanapata hasara while .................................... hebu tuache wivu wa kijinga jamani, IT SIMPLE A BUSINESS STRATEGY
 
Back
Top Bottom