Vodacom Acheni Uhuni

Vodacom Acheni Uhuni

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Voda mmekua matapeli, haiwezekani leo naweka vocha dheni inaingia na kutowema ghafla hapo hapo naambiwa salio langi halitoshi, kama ndio tunaanza kulipa code kwa staili hiyo mtujize wateja wenu
 
Kodi ya Serikali ya 1000 kila mwezi imeanza kutumika
 
natumaini imeanza coz walitangaza july 1. me leo wamenichakachua vbaya
 
Voda ni kampuni niliyokuwa naiamini sana , lakini sasa wameanza mambo ya wizi wazi wazi, hasa unapojiunga cheka ya muda mfupi , unajiunga 400 dk 10, unapigia mtu mmoja hata dakika 3 hazijaisha , sms inaingia ndugu mteja muda wako wa cheka umeisha , jamani huu si wezi ?
 
yeah! hapo umenena kaka, me nimetupia 500 langu. ikaingia ile naunga cheka ikakubali. ile napiga naambiwa sina salio lakutosha kuniwezesha kupiga cm. ile nawapigia voda wanasema kweli, ila nipige baada ya masaa matatu waangalie salio langu limeenda wapi. nimepiga tena wananipa sound
 
Voda mmekua matapeli, haiwezekani leo naweka vocha dheni inaingia na kutowema ghafla hapo hapo naambiwa salio langi halitoshi, kama ndio tunaanza kulipa code kwa staili hiyo mtujize wateja wenu

Hii vita naona haikomi. Pole pozzyfaza

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Voda ni kampuni niliyokuwa naiamini sana , lakini sasa wameanza mambo ya wizi wazi wazi, hasa unapojiunga cheka ya muda mfupi , unajiunga 400 dk 10, unapigia mtu mmoja hata dakika 3 hazijaisha , sms inaingia ndugu mteja muda wako wa cheka umeisha , jamani huu si wezi ?
jnuswe umenena vema kabisa. nahisi walisema wadau hapa siku moja kwa sababu Voda walikua wamoja kati ya wadau waliodhamini ule mkutano wa juzi juzi hapa kabla obama hajaja ndo wameanza kurudisha fedha zao sasa. so it will take like 2 or 3 months mchezo huu mchafu uendelee. hili ndo tatizo la kuwa na wafanyabiashara wanasiasa.
 
Last edited by a moderator:
wanakera sana hawa watu, inamaana hawajui pesa ilivyokuwa ngumu. huu uchafu utazidi wanatuona watz mamburula
 
Voda mmekua matapeli, haiwezekani leo naweka vocha dheni inaingia na kutowema ghafla hapo hapo naambiwa salio langi halitoshi, kama ndio tunaanza kulipa code kwa staili hiyo mtujize wateja wenu
Mkuu hili swala linapashwa kufikishwa TCRA fasta, naona kuna jamaa wame-manipulate system - juzi niliweke vocha ya elfu kumi na nikaweka code ya ku-activate vifurushi vyao, baada ya kukubaliwa nikampigia simu ndugu yangu mazungumzo yetu hayakuzidi dakika mbali - nilishangaa nilipo ambiwa salio langu alitoshi kupiga simu nyingine!!! Mwanzo nilifikili kuna kitu nimekosea, jana nikaweka vocha ya elfu tano mambo yakajirudia yale yale! Which means hii ni delibarate means za kuwahibia WATEJA, wizi uliyo kubuhu! Airtel hawana tatizo kabisa natumia services zao bila tatizo lolote. VODACOM wanapashwa kushtakiwa kwa kufanya wizi wa mchana. Binafsi nimehamua kutupilia mbali SIM card zao, hawafahi kabisa.
 
itakuwa kodi yao wamelamba hiyo...... halafu mimi nanunua salio kwa mpesa naona inagoma kurudisha majibu hapa.
 
cha msngi ni kuwapa ukweli ktk site yao. wanakera hawa, kipindi cha nyuma walikua wanaiba ktk mpesa, ukinunua salio linakubali, baada ya hapo wanaukata huko huko juu kwa juu
 
jnuswe umenena vema kabisa. nahisi walisema wadau hapa siku moja kwa sababu Voda walikua wamoja kati ya wadau waliodhamini ule mkutano wa juzi juzi hapa kabla obama hajaja ndo wameanza kurudisha fedha zao sasa. so it will take like 2 or 3 months mchezo huu mchafu uendelee. hili ndo tatizo la kuwa na wafanyabiashara wanasiasa.
Well said mkuu, Kambarage alikuwa kama nabii aliwajua fika wafanya bihashara, hawafahi kuwa karibu nao ukiwa kiongozi, wana mbinu nyingi sana - unaweza kukuta wana endesha Serikali yoyote Duniani kwa kutumia remote control - binafsi naona kampuni ya vodacom hiko kwenye league hiyo - hawagopi kitu mkuu i.e wanafanya wapendalo without questions asked. Nchi za wenzetu saa hizi wangeisha ifungia kutokana na kutumia mbinu chafu za kuwaibia wateja.
 
Last edited by a moderator:
yeah! hapo umenena kaka, me nimetupia 500 langu. ikaingia ile naunga cheka ikakubali. ile napiga naambiwa sina salio lakutosha kuniwezesha kupiga cm. ile nawapigia voda wanasema kweli, ila nipige baada ya masaa matatu waangalie salio langu limeenda wapi. nimepiga tena wananipa sound

Oya angalia SMS waliyokutumia baada ya kujiunga..kama umejiunga ya kupiga Vodacom kwa Vodacom huwezi kupiga mtandao mwingine nadhani ndicho kilichotokea kwako..umejiunga na ya jero afu unataka kupiga tgo/airtel.
 
Mkuu hili swala linapashwa kufikishwa TCRA fasta, naona kuna jamaa wame-manipulate system - juzi niliweke vocha ya elfu kumi na nikaweka code ya ku-activate vifurushi vyao, baada ya kukubaliwa nikampigia simu ndugu yangu mazungumzo yetu hayakuzidi dakika mbali - nilishangaa nilipo ambiwa salio langu alitoshi kupiga simu nyingine!!! Mwanzo nilifikili kuna kitu nimekosea, jana nikaweka vocha ya elfu tano mambo yakajirudia yale yale! Which means hii ni delibarate means za kuwahibia WATEJA, wizi uliyo kubuhu! Airtel hawana tatizo kabisa natumia services zao bila tatizo lolote. VODACOM wanapashwa kushtakiwa kwa kufanya wizi wa mchana. Binafsi nimehamua kutupilia mbali SIM card zao, hawafahi kabisa.

Hatamimi ilikwisha nitikea.
 
hapa kaka nimeunga 450 cha kushangaza wamelima mpaka cheji yangu iliyobaki
 
Voda mmekua matapeli, haiwezekani leo naweka vocha dheni inaingia na kutowema ghafla hapo hapo naambiwa salio langi halitoshi, kama ndio tunaanza kulipa code kwa staili hiyo mtujize wateja wenu
Mkuu hawa voda wahuni ni wezi na wizi huu wameanza kitambo sana hiyo kodi ni mwisho wa mwezi halafu ni 1000 tu mbona wanakata hovyo tu hata kwenye mda wa hewani.
 
tutakimbilia wapi sasa,
polisi watupige mabom,
voda watuibie mtandaoni,
ccm wasafirishe wanyama pori wetu,
 
Back
Top Bottom