Voda watoa 4G LTE

Hapo sihaelewa unafanyafanyaje hapo?na 4g waga inasapotiwa na line au sim?
lazima kifaa chako kiwe kinauwezo wakusopport 4g na uwe na laini ya 4g but voda wanagawa bure kwa mteja wa zamani but kwa mteja mpya 500
 



Tena hiyo upload speed ni impressive.


wewe ndo unachanga mafile Mkuu

Standard way ya ku express speed ni katika Bits na b ikiwa ndogo ni bits wakati B ikiwa kubwa means ni Bytes

Na ndo OOkla speed test wanachofanya ingia kwa pc Ujionee

au angalia hizi picha mbili






Kama bado haujaelewa angalia picha yake ya pili aloweka
 
Duh kweli ndio nimetoka kutest hata mimi sasa hivi Nimeona nimeenda chaka na hizi converter za Google.
Wao wansoma hii mb/s kama megabyte.
 
Haiwezi kusoma mkuu mwenyewe nimepuyanga nimeenda kuswap line ya tigo kumbe device yangu haisupport hiyo 4g yao....
 


Ila Halotel coverage yao ni nzuri karibu nchi nzima.Sasa hawa wengine wanawekeza mjini tu kwa hiyo unakuta wateja wanahangaika kupata huduma zao.Mie nadhani suala sio kuwa na teknolojia ya kisasa tu pia uangalie na coverage.Kwa hili naona Halotel ni bora zaidi kwa sababu hata matumizi ya watu wengi hayahitaji speed kubwa sana hata 3G inatosha.
 

Umenena!

Kwa watu wengi 3G ikiwa inakupa speed nzuri baasi.

Kwa mfano nimetest speed ya voda 3G hapa sasa hivi. Ping ni 28ms, downloading ni 9 Megabits kwa sekunde!

Hii kwa matumizi ya kawaida unafanya shida yoyote!
 
kuna mtu anapata 50Mbps download na 20Mbps Upload

Ila kwa bundle la kupimiwa kwa kibaba bado ni pagumu I see you cant freely download big files au stream
Ndio maana tunasali Airtel wa upgrade to 4g au Halotel maana lile bundle la 2.2gb kwa 1500 ni zuri sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…