SAMRICH1 yeye ni mgeni wala hajui kuhusu tunnel guru. muda mrefu alikuwa nje ya JF kama alivyojieleza mwenyewe.
wala mimi sina kinyongo na wewe kaka. sema joining date yako ya JF tu ndio ilinipa mashaka.
kwa mwenye kutaka vocha zaidi ya moja bei imepungua hadi buku 8.
kwa mwenye vigezo ani PM