DEVUQUARTER-DEVUKOTA
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 352
- 117
Iwe isiwe itahamika tu kwamba Hanna kitu hapo maana mtoa mada simuamini, labda angekuwa e2themiza wa ukweli au chief-mkwawa ningewaelewaJibu lako lina walakini mdau,kwa mtaji huo bora nibaki huku nilipo
mbona wewe ni underground ?
kwa taarifa yako hamruhusiwi haya madude
Iwe isiwe itahamika tu kwamba Hanna kitu hapo maana mtoa mada simuamini, labda angekuwa e2themiza wa ukweli au chief-mkwawa ningewaelewa
tarehe yako ya kujiunga na JF na status yako kuwa wewe ni just MEMBER tu, kunakufanya usiruhusiwe hata kufungua hii page. wewe hii haikuhusu. bado ni too young to recieve any information. tena mwezi ulojiunga weye ndio lile gari likapinduka.......hii inanifanya nikushuku. he he he heeee
Paje Hachana na huyo "sizitaki mbichi hizi" Kamanda wangutarehe yako ya kujiunga na JF na status yako kuwa wewe ni just MEMBER tu, kunakufanya usiruhusiwe hata kufungua hii page. wewe hii haikuhusu. bado ni too young to recieve any information. tena mwezi ulojiunga weye ndio lile gari likapinduka.......hii inanifanya nikushuku. he he he heeee
Mkuu naomba uni pm huu mchakato ama mimi pia nimekuwa banned ndani ya hichi chama?????wadhee mamboz?
mimi ni reseller wa vocha za www.tunnelguru.com kama kuna mtu anahitaji ani pm. ni buku 10 unlimited monthly. muda wa mauzo ni anytime lakini mara nyingi ni kuanzia saa 12 jioni ndio huwa nimeshatulia.... this little tunnel really kick ass
Iwe isiwe itahamika tu kwamba Hanna kitu hapo maana mtoa mada simuamini, labda angekuwa e2themiza wa ukweli au chief-mkwawa ningewaelewa
Kweli leo nimeamini, kuku mgeni hakosi kamba mguuni! Mkuu Paje nimeku PM
Thubutu ,mpunga haumwagwi hapa!!
Umeambiwa umpm ili acheck kama unakidhi vigezo na masharti ya kuzingatiwa
mkuu munjy1 achana na mautumbo ya huyo bwana,kifupi hana jipya huyo zaidi ya kuganga njaa tu.mkuu naomba uni pm huu mchakato ama mimi pia nimekuwa banned ndani ya hichi chama?????
Join Date : 20th June 2012
<dt>Likes Given 2
</dt>