Ahsante Kamanda kwa taarifa, ngoja nikae mkao wa kusikiliza na haka ka 277 kangu nilikorithishwa na Babu yangu. Duh ngoja nikanunue Betri za NATIONAL.[/QUOTE
inasikitisha kuona Jangili na Jambazi Kama Lema anapata fursa ya kuongoza Watu, hi ni hat ari Kubwa sana. Blind leading the blind.
Nafikiri hapo kwenye blue utakuwa umekosea, sio kwamba ulikuwa unamaanisha yule DENTIST wetu wa Elephant a.k.a Tembo na ndugu yake NDOVU?? nafikiri ulikuwa unamaanisha DENTIST wa ELEPHANT. Hebu rudi utunyooshee mambo hapa, rekebisha hapo kwenye Blue
RFA.kwa dar inapatikana 98.90.

wale siyo tbc wameepusha shari wamejuwa ange arisha maneno midhili ya mtu mwenye kipindu pindu,wame quote mwigulu nchemba tu, hawa voa ni washenzi sana, wanamquote mtu dakika mbili kablda kipindi haijaisha!
Pumbavu zao!!!!!!
Sent from my blackberry 9780 using jamiiforums
Nimesikiliza voa wamewatafuta lema na nchemba hawakupatikana hewani hadi kipindi kinaisha