Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Mbunge wa Arusha mjini mhe. Godbless Lema leo saa 07:30 mpaka 08:00 kupitia kituo cha voice Of America (VOA) watakao endesha mjadala juu ya amri ya waziri mkuu kuwa watu wote wanaopingana na serikali ya CCM wapigwe/wauwawe katika mjadala huo pia takuwepo mratibu wa bomu na risasi za Arusha(Mwigulu Nchemba) pamoja na wanaharakati wa hapa nchini...
tunaweza kusikiliza VOA kupitia RFA kwa Arusha 89.0
tunaweza kusikiliza VOA kupitia RFA kwa Arusha 89.0