Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Na wewe unayeshadadia uovu who are u usitutishe bwana taifa lazima liwe na nidhamu.Kama kiongozi una akili timamu huwezi kuwakataza watu zaidi ya 1,000 eti wasioneshe kukerwa au kutokurizika na jambo fulani kwa kuwa tu eti umesema wasifanye hivyo, who are you? Tunashuhudia Marekani,Ufaransa na hata Brazil wananchi wakiandamana kulalamikia au kupingwa jambo fulani Waziri Mkuu atoe amri eti haiwezekani wafanye hivyo na kuamuru polisi wawapige, wananchi wana haki ya kusikilizwa hata kama ni wachache. Ni upumbavu kutumia rasilimali kubwa kununua mabomu ya machozi na risasi kwa ajili ya kuyatumia kuwadhuru wananchi wanaotakiwa kusikilizwa tu na kuelewana.Uganda na Tanzania ni zinazotekeleza kwa kasi mkakati wa kuzima maoni ya wananchi kwa kutumia vyombo vya dola.
wewe kama umeona umebanana sana hama hiyo mifano ya nchi unazotaja watu wake wanaandamana kudai mambo ya kitaifa wala siyo masilahi ya wachache kama mnavyofanya chadema mtakoma,kipigo tu.