Natafuta kiwanja/ Sehem nzuri ya kuishi/ Kujenga Dar es Salaam

Northern Lights

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
383
347
Wenyeji na wakazi wa jiji la DSM, kwa mtu mwenye kipato cha kati ni maeneo gani kwa Dsm ambayo yametulia (siyo uswahili sana) naweza kupata kiwanja walau cha sqm 800 kwa bei kati ya 10m-15m.

Natafuta kiwanja lakini sio mwenyeji sana na gharama za kupanga kwenye hili jiji zipo juu mno
 
Bajeti hiyo na ukubwa huo unapata ila inakuwa nje kidogo ya mji kama Bunju B, Kivule, Chanika, Mbagala, Kinyerezi, Kigamboni ndani na Kibamba mbele kidogo, uamuzi ni wewe kuchagua upande. Usijaribu kuuziwa hicho maeneo ya Ubungo
 
Asante mkuu, yaani variable ni nyingi sana, ukisema uende nje sana na mji, mafoleni ya kwenda kazini nayo yatakuumiza. Ngoja tupambane
 
VIWANJA VINAUZWA.

Eneo:- Kerege Urban Area(Kerege Kwa Kiwete).

Umbali Kutoka Main Road(Bagamoyo Rd):- 400M.

MAELEZO:-

-Viwanja Viko Sita(6) vyote vimepimwa na vina Hati Miliki(Title Deed).

-Viwanja ni vya Makazi na Biashara.

-Maji ya Dawasco na Umeme wa Tanesco upo hapo viwanjani.

-Eneo limejengwa Makazi na Huduma zote za kijamii zinapatikana i.e Shule,Maduka,Hospital etc.

-Barabara rasmi zilizopimwa na zinahudumiwa na Halmashauri na Tarura.

-Kuna Matunda ya Maembe viwanjani.

-Viwanja vimelipiwa Kodi ya Ardhi mpaka July 2021.

-Eneo linafaa na zuri kwa ujenzi wa Hospital,Godwn/Garage,Housing Estates,Kanisa,Msikiti etc.


Site Plan:-

Kiwanja no 1-
(Commercial Plot)=9,443 SqM.

Kiwanja no. 2-
(Commercial Plot) =4,175 SqM.

Kiwanja no. 3-
(Residential Plot)=1,402 SqM.

Kiwanja no. 4-
(Residential Plot)=1,445 SqM.

Kiwanja no 5-
(Residential Plot)=1,304 SqM.

Kiwanja no. 6-
(Commercial Plot)=7,162 SqM.

Bei:-

Viwanja vya Biashara(Commercial)=Tshs 20,000 @ SqM.

Viwanja vya Makazi(Residential)=Tshs 15,000 @ SqM.

Contact:-

0715 499528.

IMG-20210412-WA0003.jpg


IMG-20210412-WA0002.jpg


IMG-20210412-WA0000.jpg


IMG-20210412-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom