Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,478
Nilifikiri wewe ni mathematician (going by your signature). Issue hapa siyo constitutional right (unaleta mambo ya Obama juu ya Ground Zero Mosque anapesama ametetea haki na hafanyi comment juu ya busara-wisdom). Nimeargue mathematically kwamba probability kwamba formally educated person will perform better than a standard seven leaver is higher. Kwa vile uko unshakable in what you believe hutaki kukubali opinion za wenzako bila kujali mantiki yake. Huwezi kutuambia hata nchi moja isiyo amini in formal education. I tell you, even those guys you are defending (wasio na vidato) wanajua ni kiasi gani wangekuwa more efficient and effective kama wangekuwa na formal education! You're the only guy (outlier) who dont see the necessity of formal educ.
Kwenye haki na sheria hakuna probability.
Utajisikia vipi kama tukikuambia kwamba based on your biodemographics statistically wewe una probability ya 99% kuwa murderer, na kwa hiyo tukupeleke kwenye firing squad kabla hujaua ?
Basically unachotaka kufanya ni the same thing, unataka kuwazuia watu wasipate constitutional right yao kwa sababu ya statistics, statistics ambazo hata hujatuambia umezipata wapi.