Wakati mwingine ni bora kukaa kimya. Sasa naanza kuelewa inakuwaje suala la "kijana yule" kupata watetezi.Kiwanda cha bakhresa mkuranga
Kiwanda cha pamba bariadi
Kiwanda cha vinywaji baridi shinyanga
Kiwanda cha vigae mkuranga
Kiwanda cha chuma mkuranga
Kiwanda cha vigae chalinze
Kiwanda cha cement tanga amboni na vingine vingi
pamoja na kuhangaika kote.... umetaja viwanda 7 tena nchi nzima ambavyo vyote hivi vimeanza kujengwa yangu enzi za JK .... hivi kiwanda kinajengwa kwa mwaka mmoja na kuanza uzalishaji? big jokeKiwanda cha bakhresa mkuranga
Kiwanda cha pamba bariadi
Kiwanda cha vinywaji baridi shinyanga
Kiwanda cha vigae mkuranga
Kiwanda cha chuma mkuranga
Kiwanda cha vigae chalinze
Kiwanda cha cement tanga amboni na vingine vingi
Viwanda vyote hivi ni vya awamu ya nne,hakuna kiwanda kimeanza kujengwa mwaka jana hapo,viwanda vyote hivyo vimeanza ujenzi awamu ya nne kwasababu ya sera zilizokuwepo sio sasa hapaeleweki matamko yanakuwa sheria.Kiwanda cha bakhresa mkuranga
Kiwanda cha pamba bariadi
Kiwanda cha vinywaji baridi shinyanga
Kiwanda cha vigae mkuranga
Kiwanda cha chuma mkuranga
Kiwanda cha vigae chalinze
Kiwanda cha cement tanga amboni na vingine vingi
Lete majina ya viwanda acha porojo....kama huna majina ya viwanda leta cheti cha bashite tukusameheTatzo kubwa ulilo nalo ni UGONJWA ambao unakukabili kwa sasa....Unaoitwa UKOVI.....(ukosefu wa viroba)....Hivi kwa akili yako kabsa kati ya wewe na Magufuli nani mwenye full information na nchi hii??....Yeye si mpuuzi kusema hivyo
Mkuu, alichosema si utani, mtu anayetania anajua ila anakuwa ameamua tu kusema tofauti. Huyu alichokiandika ndicho anachokijua.pamoja na kuhangaika kote.... umetaja viwanda 7 tena nchi nzima ambavyo vyote hivi vimeanza kujengwa yangu enzi za JK .... hivi kiwanda kinajengwa kwa mwaka mmoja na kuanza uzalishaji? big joke
Hilo ndio jibu la swali lake? Acha ujue ha wewe, viwanda sio sindano kusema vinafichika, kama vipo hata wewe ungevisikia.Tatzo kubwa ulilo nalo ni UGONJWA ambao unakukabili kwa sasa....Unaoitwa UKOVI.....(ukosefu wa viroba)....Hivi kwa akili yako kabsa kati ya wewe na Magufuli nani mwenye full information na nchi hii??....Yeye si mpuuzi kusema hivyo
I challenge him ataje viwanda kumi tu vilivyopo kusini na ambavyo vinazalisha na vimeajiri.. Akitaja niko tayari kwenda jela miaka 10.
acha kujitoa ufahamu hivi unafikiri kwa sifa za huyo mtu wako vingejengwa hivyo viwanda vikubwa visingeonekana,Hebu nitajie kumi tu unavyovijua vinazalisha bidhaa ganiTatzo kubwa ulilo nalo ni UGONJWA ambao unakukabili kwa sasa....Unaoitwa UKOVI.....(ukosefu wa viroba)....Hivi kwa akili yako kabsa kati ya wewe na Magufuli nani mwenye full information na nchi hii??....Yeye si mpuuzi kusema hivyo
Mkuu mbona unatokwa na povu?? Na una maana gani unaposema ana information?? Mbona alimuajiri bashite bila ya kuwa na info juu ya sifuri yake?? Turudi katika mada... Mleta mada hajasema kwamba havipo kasema kama vipo basi atajiwe au aonyeshwe ni simple kama ivo mkuu hilo povu halina maana hapa!!Tatzo kubwa ulilo nalo ni UGONJWA ambao unakukabili kwa sasa....Unaoitwa UKOVI.....(ukosefu wa viroba)....Hivi kwa akili yako kabsa kati ya wewe na Magufuli nani mwenye full information na nchi hii??....Yeye si mpuuzi kusema hivyo
Hivi si vilikua kipindi cha jakaya?? Unaumwa??Kiwanda cha bakhresa mkuranga
Kiwanda cha pamba bariadi
Kiwanda cha vinywaji baridi shinyanga
Kiwanda cha vigae mkuranga
Kiwanda cha chuma mkuranga
Kiwanda cha vigae chalinze
Kiwanda cha cement tanga amboni na vingine vingi
Hivi ni kila mtaa vipo mkuu!![emoji23][emoji23][emoji23]Mbona viwanda vipo vingi sana.
![]()
Utakuwa unatumia makalio kufikiri umeulizwa mtwara na Lindi ww unajibu bariadi au ndio ubashite wenyewe huo!!Kiwanda cha bakhresa mkuranga
Kiwanda cha pamba bariadi
Kiwanda cha vinywaji baridi shinyanga
Kiwanda cha vigae mkuranga
Kiwanda cha chuma mkuranga
Kiwanda cha vigae chalinze
Kiwanda cha cement tanga amboni na vingine vingi
mkuu mikoa ya kusin hakuna kiwanda hata kimoja kiluchojengwa na kinafanya kazi.......... infact hakuna kiwanda kipya kilichojengwa au kinachoendelea kujengwa tokea huyu bwana aingie madarakani...............acha kujitoa ufahamu hivi unafikiri kwa sifa za huyo mtu wako vingejengwa hivyo viwanda vikubwa visingeonekana,Hebu nitajie kumi tu unavyovijua vinazalisha bidhaa gani