Kweli kabisa mkuumkuu mikoa ya kusin hakuna kiwanda hata kimoja kiluchojengwa na kinafanya kazi.......... infact hakuna kiwanda kipya kilichojengwa au kinachoendelea kujengwa tokea huyu bwana aingie madarakani...............
otherwise aseme alimaanisha vi-wonder, hivyo kwel vipo vngi sn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwaio na wewe kwa akili yako kwa kuwa magu anainformation kuhusu nchi unazani gharama ya kujenga viwanda vikubwa ni blabla au unazani kiwanda ni kinu cha kutwangia mpunga; naona kwa akili yako ata akisema kuwa Tanzania ni tajiri duniani utaamini mana kuwa kwako ndo kusema ukwel,Tatzo kubwa ulilo nalo ni UGONJWA ambao unakukabili kwa sasa....Unaoitwa UKOVI.....(ukosefu wa viroba)....Hivi kwa akili yako kabsa kati ya wewe na Magufuli nani mwenye full information na nchi hii??....Yeye si mpuuzi kusema hivyo
Imani huamisha milimaSina list lkn haimaanishi havipo siamini kama atakuwa amedanganya
Bariadi Shinyanga, Amboni Tanga!!! Huko sio Lindi na Mtwara Mkuu. Hivi shuleni ulienda kusomea ujinga???Kiwanda cha bakhresa mkuranga
Kiwanda cha pamba bariadi
Kiwanda cha vinywaji baridi shinyanga
Kiwanda cha vigae mkuranga
Kiwanda cha chuma mkuranga
Kiwanda cha vigae chalinze
Kiwanda cha cement tanga amboni na vingine vingi
Taja viwili tu alafu njoo uchukue elfu 50 hapa.Viwanda vipya vipo kibao
Rais katika ziara yake anasema tayari ndani ya awamu yake vimejengwa viwanda vikubwa 83 na vidogo 240. Naomba kujulishwa na wahusika majina ya hivyo viwanda. Maana isije ikawa viwanda vinavyoongelewa ni maduka ya watu tunaambiwa viwanda.
Jamani viwanda vikubwa 83 sio mchezo!!
Au mimi ndio sielewi maana ya viwanda vikubwa na vidogo?? Basi sio mbaya nieleweshwe viwanda vikubwa ni aina gani na vidogo ni aina gani . Isije ikawa viwanda vikubwa ni mashine za kufyatua tofari na viwanda vidogo ni ndoo na karatasi za kufungia maji ya kandoro!! Lakn kama viwanda vikubwa ni kama kiwanda cha dangote au cha bakharesa cha joice alichofungua rais mwaka jana kule mkoa wa pwani hakiwez kujengwa ndani ya mwaka mmoja.
Labda hivyo navyo tupewe majina yake napendekeza tuviite viwanda vya maajabu!!
Naomba nijue majina ya hivyo viwanda na pia nipewe tofauti ya viwanda vikubwa na vidogo
. Msikilize rais hapa chini
Hata vitano havipo. Mi ndiyo hapo huwaga sielewi tunaenda wapiI challenge him ataje viwanda kumi tu vilivyopo kusini na ambavyo vinazalisha na vimeajiri.. Akitaja niko tayari kwenda jela miaka 10.
Wabongo mna kumbukumbu sana. Umenichekesha kuhusu mradi wa BRT.Hahahha kwaio hakuna kiwanda kipya ni mwendo ule ule wa kuzindua vitu mara mbili mbili kama ilivyokua kwenye mradi wa mwendo kasi ulivyozinduliwa mara mbili...jamaa chaliii aiseee mbio za sakafuni chaliiii.....hahahahaha....
Mtwara nakumbuka kuna Dangote, Mtwara Cement,Olam na Kiwanda cha Kuchakata Chemikali za Kwenye deep sea kwa makampuni ya Utafiti wa Mafuta na Gesi. Ila vyote hivyo nadahani ni tangu Awam ya 3 na 4.Hivyo vipya taja vitano tu ukitoa Dangote (vilivyopo Mtwara na Lindi).. Ukiweza kunitajia chukua hii statement na nenda mahakamani niko tayari kwenda jela miaka 10.