Viwanda vikubwa 83 na vidogo 240 viko wapi huko kusini??

Viwanda vikubwa 83 na vidogo 240 viko wapi huko kusini??

tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
2,330
Reaction score
4,123
Rais katika ziara yake anasema tayari ndani ya awamu yake vimejengwa viwanda vikubwa 83 na vidogo 240. Naomba kujulishwa na wahusika majina ya hivyo viwanda. Maana isije ikawa viwanda vinavyoongelewa ni maduka ya watu tunaambiwa viwanda.

Jamani viwanda vikubwa 83 sio mchezo!!
Au mimi ndio sielewi maana ya viwanda vikubwa na vidogo?? Basi sio mbaya nieleweshwe viwanda vikubwa ni aina gani na vidogo ni aina gani . Isije ikawa viwanda vikubwa ni mashine za kufyatua tofari na viwanda vidogo ni ndoo na karatasi za kufungia maji ya kandoro!! Lakn kama viwanda vikubwa ni kama kiwanda cha dangote au cha bakharesa cha joice alichofungua rais mwaka jana kule mkoa wa pwani hakiwez kujengwa ndani ya mwaka mmoja.
Labda hivyo navyo tupewe majina yake napendekeza tuviite viwanda vya maajabu!!

Naomba nijue majina ya hivyo viwanda na pia nipewe tofauti ya viwanda vikubwa na vidogo
. Msikilize rais hapa chini

Tatzo kubwa ulilo nalo ni UGONJWA ambao unakukabili kwa sasa....Unaoitwa UKOVI.....(ukosefu wa viroba)....Hivi kwa akili yako kabsa kati ya wewe na Magufuli nani mwenye full information na nchi hii??....Yeye si mpuuzi kusema hivyo
 
Hahaaaa ukawa ukuta ukovi
 
Kukariri takuwimu ndio nguzo kuu ya kisiasa ya huyo bwana. Ila bahati mbaya huwa hajui kuwekeza kwenye mifumo ya ukusanyaji taarifa..

Hivi kweli mnaamini wale jamaa pale Temeke wangeweza kufahamu nchi inazalisha lita ngapi za maziwa kwa siku?
 
Viwanda vyote anavyovifungua sasa vilishaanza kazi muda mrefu vinaingizwa kwa nguvu kwenye idadi kwamba vimeanza kwenye awamu yake ya viwanda hii yote ni kutafuta ile tabia anayosemekana anayo,maana mkuu aliepita angekuwa anafanya kama hivi basi angejitangaza amefungua viwanda milioni katika kipindi chake cha miaka kumi.
awamu hii nafikiri viwanda vingi vitafungwa kwa kukosa biashara na wafanyabiashara watashindwa kuanzisha viwanda kasababu ya sera haziko stable mfano ni viwanda vya viroba,vilikuwa vinafanyakazi vikifuata taratibu zote za serikali lakini kwa tamko tu ndani ya wiki viwanda vinafungwa bila kujali gharama za uwekezaji zilizotumika hivyo kipindi hiki ni risk kuanzisha biashara yoyote nadhni kuna wafanyabiashara watatulia kwanza waangalie upepo mpaka pale hali itakapokuwa stable ndio maana viwanda vingi vitakavyofunguliwa sasahivi si vipya.
 
Hahahha kwaio hakuna kiwanda kipya ni mwendo ule ule wa kuzindua vitu mara mbili mbili kama ilivyokua kwenye mradi wa mwendo kasi ulivyozinduliwa mara mbili...jamaa chaliii aiseee mbio za sakafuni chaliiii.....hahahahaha....
 
Viwanda vipya vipo kibao
 
Tatzo kubwa ulilo nalo ni UGONJWA ambao unakukabili kwa sasa....Unaoitwa UKOVI.....(ukosefu wa viroba)....Hivi kwa akili yako kabsa kati ya wewe na Magufuli nani mwenye full information na nchi hii??....Yeye si mpuuzi kusema hivyo
I challenge him ataje viwanda kumi tu vilivyopo kusini na ambavyo vinazalisha na vimeajiri.. Akitaja niko tayari kwenda jela miaka 10.
 
Hivyo vipya taja vitano tu ukitoa Dangote (vilivyopo Mtwara na Lindi).. Ukiweza kunitajia chukua hii statement na nenda mahakamani niko tayari kwenda jela miaka 10.
Kiwanda cha bakhresa mkuranga
Kiwanda cha pamba bariadi
Kiwanda cha vinywaji baridi shinyanga
Kiwanda cha vigae mkuranga
Kiwanda cha chuma mkuranga
Kiwanda cha vigae chalinze
Kiwanda cha cement tanga amboni na vingine vingi
 
Bashitelism industry made in tanzania.
 
Kiwanda cha bakhresa mkuranga
Kiwanda cha pamba bariadi
Kiwanda cha vinywaji baridi shinyanga
Kiwanda cha vigae mkuranga
Kiwanda cha chuma mkuranga
Kiwanda cha vigae chalinze
Kiwanda cha cement tanga amboni na vingine vingi
Umesikiliza lakini alichoongea Rais wako? Kasema Pwani kuna viwanda vikubwa 83.. Sasa hebu taja viwanda 10 pekee vikubwa na vinavyofahamika huko Pwani...
 
Umesikiliza lakini alichoongea Rais wako? Kasema Pwani kuna viwanda vikubwa 83.. Sasa hebu taja viwanda 10 pekee vikubwa na vinavyofahamika huko Pwani...
Sina list lkn haimaanishi havipo siamini kama atakuwa amedanganya
 
Mwatex
Mutex
Sungura Tex
General Tire
Tamco Kibaha
Etc
Hivi viwanda vilikus na impact kubwa sana kwenye economy kwa unora wa products na ajira kubwa
Kama kweli tunataka Tanzania iwe ya viwanda hivi wiwanda vya wahindi tunavyo viona mitaani vya vitatuchelewesha saaaana
 
Viwanda hivo anavyosemea sijui ni viwanda vipi maana mie sijaona hata kimoja
 
Back
Top Bottom