Viwanda vikubwa 83 na vidogo 240 viko wapi huko kusini??

Tatzo kubwa ulilo nalo ni UGONJWA ambao unakukabili kwa sasa....Unaoitwa UKOVI.....(ukosefu wa viroba)....Hivi kwa akili yako kabsa kati ya wewe na Magufuli nani mwenye full information na nchi hii??....Yeye si mpuuzi kusema hivyo
Hivi kwa akili yako huru unawezaje kumwamini kiongozi atokanaye na ccm?!
 
Sina list lkn haimaanishi havipo siamini kama atakuwa amedanganya
Hata hapa Dar tu, kupata Viwanda hasa kwa level ya Kiwanda ukipata list yote 83 bado ni ngumu sana,ndo iwe huko Pwani. Viwanda vipo lakini kwa hadhi ya Kibongobongo, kwa wenzetu ni sawa na Light Industries tu(SIDO affiliates)
 
pamoja na kuhangaika kote.... umetaja viwanda 7 tena nchi nzima ambavyo vyote hivi vimeanza kujengwa yangu enzi za JK .... hivi kiwanda kinajengwa kwa mwaka mmoja na kuanza uzalishaji? big joke
Unafikiri viwanda 83 ni mchezo? Yaani kiwanda kama cha Dangote, Tanga Cement, Twiga, Mbeya, TBL, Serengeti, Bakhresa, Sita Steel, AIM Steel, vyenye ukubwa wa hadhi ya kuitwa Kiwanda, Kwa nchi nzima hata kufikisha 83 ni ngumu, siyo kusini tu, nchi nzima bado ni ngumu.
 
Kiwanda cha kuuza vyeti feki

Kiwanda cha kununua vyeti feki

Kiwanda cha kutumia vyeti feki

Kiwanda cha kufeli darasa la nne mara ya kwanza

Kiwanda cha kufeli darasa la nne mara ya pili

Kiwanda cha kufeli darasa la saba

Kiwanda cha kufeli kidato cha nne kwa kupata fafafaf

Kiwanda cha kubadilisha majina

Kiwanda cha kujikomba komba kwa viongozi

Kiwanda cha ku disco Mzumbe

Kiwanda cha kuunga unga gpa ya 2.1

Kiwanda cha kutoa kauli bila vitendo

Kiwanda cha kutafuta kick

Vipo viwanda vingi sana yani nikianza kuvitaja hapa kesho itafika
 
Mtwara nakumbuka kuna Dangote, Mtwara Cement,Olam na Kiwanda cha Kuchakata Chemikali za Kwenye deep sea kwa makampuni ya Utafiti wa Mafuta na Gesi. Ila vyote hivyo nadahani ni tangu Awam ya 3 na 4.
Je kinu cha kule Msimbati/Kilambo nacho ni Kiwanda, maana kimuundo kina hadhi ya kuitwa Kiwanda.
Olam hawako Tanzania miaka mingi sasa na wazungu wote wa mafuta na gesi wamefunga operation zao hawako Tanzania kwa sasa.. Umeme Mtwara na Lindi ni wa mgao kwa sasa, labda hizo Megawatt 100 wanazotupiga sound kwamba wameenda kuweka jiwe la msingi
 
Mbona viwanda vipo vingi sana.

73.jpg
hahahahahahahaha nimecheka sana mkuu... Asante
 
Do we know how sub conscious mind works? People are so obsessed with JPM and yet there is nothing they can do to change the situation.
 
Rais katika ziara yake anasema tayari ndani ya awamu yake vimejengwa viwanda vikubwa 83 na vidogo 240. Naomba kujulishwa na wahusika majina ya hivyo viwanda. Maana isije ikawa viwanda vinavyoongelewa ni maduka ya watu tunaambiwa viwanda.

Jamani viwanda vikubwa 83 sio mchezo!!
Au mimi ndio sielewi maana ya viwanda vikubwa na vidogo?? Basi sio mbaya nieleweshwe viwanda vikubwa ni aina gani na vidogo ni aina gani . Isije ikawa viwanda vikubwa ni mashine za kufyatua tofari na viwanda vidogo ni ndoo na karatasi za kufungia maji ya kandoro!! Lakn kama viwanda vikubwa ni kama kiwanda cha dangote au cha bakharesa cha joice alichofungua rais mwaka jana kule mkoa wa pwani hakiwez kujengwa ndani ya mwaka mmoja.
Labda hivyo navyo tupewe majina yake napendekeza tuviite viwanda vya maajabu!!

Naomba nijue majina ya hivyo viwanda na pia nipewe tofauti ya viwanda vikubwa na vidogo
. Msikilize rais hapa chini

Ofisi ya chadema makao makuu imejengwa wapi?
 
acha kujitoa ufahamu hivi unafikiri kwa sifa za huyo mtu wako vingejengwa hivyo viwanda vikubwa visingeonekana,Hebu nitajie kumi tu unavyovijua vinazalisha bidhaa gani
Msamehe bure mkuu huyu atakuwa ni ndugu wa damu wa Mengele S. Tatizo lao kubwa ni kuliendekeza tumbo.
 
I challenge him ataje viwanda kumi tu vilivyopo kusini na ambavyo vinazalisha na vimeajiri.. Akitaja niko tayari kwenda jela miaka 10.
Jitambulishe kwa ID yako halisi nikutajie hivyo viwanda, ili ujipeleke jela miaka 10 kama ulivyopania.

Majigambo ya kipuuzi nyuma ya keyboard na ID fake.
 
Naitwa Marko Mathias... Aya taja sasa
 
Tatzo kubwa ulilo nalo ni UGONJWA ambao unakukabili kwa sasa....Unaoitwa UKOVI.....(ukosefu wa viroba)....Hivi kwa akili yako kabsa kati ya wewe na Magufuli nani mwenye full information na nchi hii??....Yeye si mpuuzi kusema hivyo
Karibuvmirembe work zikovwazi
 
Rais katika ziara yake anasema tayari ndani ya awamu yake vimejengwa viwanda vikubwa 83 na vidogo 240. Naomba kujulishwa na wahusika majina ya hivyo viwanda. Maana isije ikawa viwanda vinavyoongelewa ni maduka ya watu tunaambiwa viwanda.

Jamani viwanda vikubwa 83 sio mchezo!!
Au mimi ndio sielewi maana ya viwanda vikubwa na vidogo?? Basi sio mbaya nieleweshwe viwanda vikubwa ni aina gani na vidogo ni aina gani . Isije ikawa viwanda vikubwa ni mashine za kufyatua tofari na viwanda vidogo ni ndoo na karatasi za kufungia maji ya kandoro!! Lakn kama viwanda vikubwa ni kama kiwanda cha dangote au cha bakharesa cha joice alichofungua rais mwaka jana kule mkoa wa pwani hakiwez kujengwa ndani ya mwaka mmoja.
Labda hivyo navyo tupewe majina yake napendekeza tuviite viwanda vya maajabu!!

Naomba nijue majina ya hivyo viwanda na pia nipewe tofauti ya viwanda vikubwa na vidogo
. Msikilize rais hapa chini

Si muda wote ni siasa, JPM si mwanasia kama hao wanaoshikilia akili za watu na kuwafanya watz wasifikiri chochote isipokuwa wao2-lakini naamini si kosa lako ila mfumo wa kiharakati ndo umejaa kichwani kwako- kila kitu hapana hapana-na kama huoni viwanda ni vema ukatafuta miwani ili uone sawia. Subiria si muda mrefu vitasimikwa JF
 
Rais katika ziara yake anasema tayari ndani ya awamu yake vimejengwa viwanda vikubwa 83 na vidogo 240. Naomba kujulishwa na wahusika majina ya hivyo viwanda. Maana isije ikawa viwanda vinavyoongelewa ni maduka ya watu tunaambiwa viwanda.

Jamani viwanda vikubwa 83 sio mchezo!!
Au mimi ndio sielewi maana ya viwanda vikubwa na vidogo?? Basi sio mbaya nieleweshwe viwanda vikubwa ni aina gani na vidogo ni aina gani . Isije ikawa viwanda vikubwa ni mashine za kufyatua tofari na viwanda vidogo ni ndoo na karatasi za kufungia maji ya kandoro!! Lakn kama viwanda vikubwa ni kama kiwanda cha dangote au cha bakharesa cha joice alichofungua rais mwaka jana kule mkoa wa pwani hakiwez kujengwa ndani ya mwaka mmoja.
Labda hivyo navyo tupewe majina yake napendekeza tuviite viwanda vya maajabu!!

Naomba nijue majina ya hivyo viwanda na pia nipewe tofauti ya viwanda vikubwa na vidogo
. Msikilize rais hapa chini

Acha uchochezi bwana. Wewe kama huvioni si uvae miwani utaviona tu
 
Iwazi sana kuwa wakati mwingine tunatumia akili kutaka uthibitisho wa maneno ni ya misikule. Japo mane ni yao ni upuuzi. Viwanda Vipo vingi halafu hiwezi kuvitaja?. Vipi ulipatikana kwa njia ya uganga?.
 
Back
Top Bottom