Vivuli vitatu

Malumbano yasiyo na hoja ... ebu niendelee kusubiri watakaopost. ...
 
Icho kidogo ndio uhai na ndio wachawi wanachezaga nacho km wanataka kuchukua mtu msukule au kumuua kabisa!!!!
 
dah nisome wapi ndg.barikiwa sanaa.
 
Soma kivuli kidogo kivuli cha ndani kinachobeba nafsi. .kuna baadhi ya imani huamini kuwa utu hupitia katika kivuli hicho hata reincarnation meditation na uchawi
Do you believe in reincarnation?
Potential topic kwako utumwagie hapa.
 
Do you believe in reincarnation?
Potential topic kwako utumwagie hapa.
 
Do you believe in reincarnation?
Potential topic kwako utumwagie hapa.
 
Thanks
 
He he!.. ingekuwa kimvuli kinaonekana gizani labda ningeamini somo lako lkn kwenye mwanga hata vionekane 80!! Bado itaniwia ugumu kujua kuwa binadamu ati tuna roho na huyo aitwae nafsi.. mwili namjua.
 
Ila sikuandika ili uamini... BTW hata usipoamini wewe haitaondoa uhalisia wa nilichoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…