Vivuli vitatu

Hizi ni habari za udogoni hata sisi tuliambiwa hivyo ila binafsi sikuwahi kuthibitisha popote
 
Mkuu huwa nasikia kuwa km ukitolewa kinvuli mchawi hawez kukuroga. Ni kweli?
Njia zip huwa zinatumika kutoa kinvuli?
Linachimbwa kabuli, unavikwa sanda na unawekwa ktk jeneza, kisha unaombewa kama anavyoombewa maiti, then unazikwa na kufukiwa kabisa. Ukifukuliwa hapo kivuli kinakuwa kimefitwa, kwa hiyo unakuwa kama maiti fulani hivi ktk ulimwengu wa kichawi. Maiti hailogeki, kwa hiyo wachawi wakikutafuta inaonekana ulishafariki kitambo tu ma kuzikwa. Kuna mtu aliniambua alifanyiwa hii kitu. Ila tuendelee kutafuta maarifa kutoka kwa wajuzi zaidi
 
mshana jr, naye bwana!!!.....sijui amesomea fani au taaluma gani....hongera mshana jr...
 
mshana jr, naye bwana!!!.....sijui amesomea fani au taaluma gani....hongera mshana jr...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Mkuu,mshana Jr.hakika mungu mwenyezi naomba akuongezee upeo zaidi ya hapo Kwani hakika kila uzi wako siishi kujifunza kitu kipya na leo umenitatulia utata nikuokuwa nao juu ya uwepo wa vivuli vitatu kwenye mwili mmoja.ni hayo tu mkuu.
 
Asante sana pongezi hizi pia zimfikie dada Divine...
 
Ni kweli.Unakaa kaburini siku saba.
 
Idadi ya siku sikumbuki labda kama kuna wajuzi zaidi wanaweza tusaidia
 
Waafrika na imani zetu.

Siku tukikubali mila na desturi zetu zinatufunga tusiendelee amini yatakua mapinduzi ya kihistoria miaka mingi ijayo.
 
Waafrika na imani zetu.

Siku tukikubali mila na desturi zetu zinatufunga tusiendelee amini yatakua mapinduzi ya kihistoria miaka mingi ijayo.
Kumbe hizi ni imani za kiafrika? My friend umepotoka tafuta maarifa utagundua mengi
 
Kumbe hizi ni imani za kiafrika? My friend umepotoka tafuta maarifa utagundua mengi
Maarifa nadharia yasiyo na mashiko!?...ndugu mmoja alisema "ignore the most,care the least" bahati nzuri hii imekua itikadi ya maisha kwa sasa. Shida inatokea pale tunapovuka mipaka na kuchukua hizi imani na kuzihusisha na mhutakbari wa maisha ya kila siku. Haijengi kuamini umelogwa kisa mambo hayaendi maana kuthubutu na jitihada zina nafasi kubwa katika mafanikio.
 
Mmh OK OK ni mjadala huru kila mtu anachangia kwa mitazamo na uelewa wake
 
Aisee! Naweza kukubaliana nawe somehow, nimepata kusikia kwamba wachawi huchukua vivuli vya watu kwa njia zao za kichawi. Mtu ambae kivuli chake kimechukuliwa na wachawi baada ya muda hufariki dunia endapo kivuli hicho hakitarejeshwa na mtaalamu aliyebobea kwenye fani ya tiba za jadi. Umeniongezea ufahamu kwamba uchawi upo na unafanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…