Viva viettel (halotel)

Nina iphone. Nasearch vipi mkuu

Nafkiri unaenda setting halafu carrier then unaeka automatic off then angalia hapo kama utauona huo mtandao WA smart, sometime unakua na namba tu sio jina
 

Toka hapo juu sikuwa na uhakika asante kwa taarifa,

Na kama viettel wanatumia minara hio hakuna njia ya kuwapita speed kina voda/tigo/airtel maana hio minara Ina speed ya kawaida sana. Unless wauze internet bei rahisi zaidi ya smart
 
Wanatumia 900 kwa ajili ya 3G... Si lazima awe na simu tajwa hapo juu..
Tatizo la 900 haiji yenyewe kama 2100. Ili simu iwe na band 900 inabidi iwe na quadband Ni simu chache sana duniani ambazo zina 900 bila 2100.

Ili simu iwe na quadband inabidi itumie soc za highend/za bei ghali ndio maana simu nyingi za kichina hazikamati mtandao WA smart.

Ukiangalia simu za juu nilizotaja zote Ni flagship hizo ndio nzuri za kutestia kama mtandao upo eneo lako.

Mtu akitafuta simu ya kawaida tu inawezekana Hana band 900 matokeo yako asiupate mtandao na akahitimisha haupo kumbe upo.

Na viettel pia wanatumia 900?
 
Nafkiri unaenda setting halafu carrier then unaeka automatic off then angalia hapo kama utauona huo mtandao WA smart, sometime unakua na namba tu sio jina


Naulizia halotel siyo smart mkuu
 

Asante mkuu hapo uliponifafanulia quadband mimi sio mzuri kwenye mambo ya simu nilifafanua kwenye part ya network tu na sikujua kama simu zinatofauti as navyoelewa kama simu ina support data na ina band ya 900 ( as nyingi zinazo kwa kuwa voda tigo na airtel wanazitumia kwenye 2G kwa ajili ya coverage ya mbali but smart wanaitumia kwa ajili ya 3G ndio maana wamefunga sehemu chache ila coverage yake ni kubwa mno, ukiangalia nyanda za juu wamefunga kwenye minara 45 tu as kwa mwaka 2014)

Vietell wanatumia 1800 kwa 2G na 2100 kwa 3G.

Tigo wanatumia band ya 800 kwa 4G.
 
Nafkiri unaenda setting halafu carrier then unaeka automatic off then angalia hapo kama utauona huo mtandao WA smart, sometime unakua na namba tu sio jina


Mkuu nimefanya hivyo na kupata Vodacom, TIGO-TZ, ZANTEL-TZ, Airtel, na Hits TZ.

Je hii Hits TZ ni ipi?
 
Duh! Kumbe halotel ndio Vietell. Wamechukua ofisi ya maana hapa Moro. Naona mabango yao hadi mtaani
 
hivi hawa vietel c wanahusika na data tu?
 
Vietel ni jeshi la Vietnam, pamoja na matatizo yoote waliyonayo wameweza kuja kuwekeza nje ya mipaka yao. .hongera zao lakini VP KUHUSU TTCL YETU?

TTCL nao wapo mbioni kuja upya na 3G na 4G kwa sasa wanamalizia sait ya kwanza ya 4G apo makao makuu baada ya apo nchi nzima....Vietel na wenzao wajipange upya
 

TTCL atatumia band ya 1800 kwa 4G-LTE na 2100 kwa 3G. "toroka urudi TTCL'.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…