Viva viettel (halotel)

Ngoja nimsaidie. Hiyo apo mkuu.

Speed ya Kobe hiyo

Ila kama ni kijijini Wameteka soko tayari

Mm nina 3G roaming ya Voda kijijini hata kupata 100KB/sec ni ndoto ya abunuasi

Hivo sema eneo lako uko wapi na Voda 3G wanayo na speed unapata ngapi?
 
kaka Njunwa Wamavoko nawezaje kupata 3G roaming ya voda??
 
Last edited by a moderator:
kaka Njunwa Wamavokowa Wamavoko nawezaje kupata 3G roaming ya voda??

Kama ni kwa PC fanya manual search na uwe ume set WCDMA Only

Mm napata 3G roaming ya Vodacom,Smart na Zantel wote wanatumia network ya TZ01

Kama ni kwa Android phones nafikiri sio zote zitaweza sana sana za Mchina hazitoweza

Natumia Samsung Grand Prime nime weka tick ya Roaming kwenye network settings na nime set WCDMA Only

thanks bro.. i got it Njunwa
 
Last edited by a moderator:
Speed ya Kobe hiyo

Ila kama ni kijijini Wameteka soko tayari

Mm nina 3G roaming ya Voda kijijini hata kupata 100KB/sec ni ndoto ya abunuasi

Hivo sema eneo lako uko wapi na Voda 3G wanayo na speed unapata ngapi?

Dodoma mjini. Voda huwa napats mpka 120 ms
 
Mkuu ukimaliza kuandika hapa hili swali, li forward kwa Makamba moja kwa moja.
 
hawatumii band 2100 kama mitandao mengine ya kwetu tafuta simu yenye band nyingi kama s3, s4, s5, s6, iphone zote nk tumia kusearch ili uhakikishe kama upo.

Nina iphone. Nasearch vipi mkuu
 
Si kweli usemalo
Smart wanatumia minara ya HTT na wamekodi network kutoka project ya world bank iliyokuwa inaitwa rural network iliyoendeshwa na ushirikiano na erics tz....
Siku hz hamna wanaojenga minara zaidi ya HTT hata hao vietell walianza kiujenga wakasanda...
 
hawatumii band 2100 kama mitandao mengine ya kwetu tafuta simu yenye band nyingi kama s3, s4, s5, s6, iphone zote nk tumia kusearch ili uhakikishe kama upo.

Wanatumia 900 kwa ajili ya 3G... Si lazima awe na simu tajwa hapo juu..
 
TZ01 ndio smart hao au rural netco...
 
Tangu jana natumia mtandao wa viettel kiukweli upo fasta Sana na 3g Yao. Wanafanya majaribio tu lakini nimewakubali,ngoja tusubiri uzinduzi rasmi wiki ijayo
We ni IT au vip cuz number of user affect speed sasa kama mpo kumi y isiwe fast
 
Samahani lakini,3g ni kitu kingine tofauti.(3g ina maana ya 3grammes) Hapa tunazungumzia 3G katika masuala ya mtandao,Yaani third Generation.:wink1:

GwaB nawe mpanaa! 3grammes!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…