henry normal
Senior Member
- Jun 13, 2015
- 120
- 31
Katka maPishi ya mishika kunaarufu Fulani ambayo ni mvuto kwa wateja. Je ni viungo Gani uleta LADHA NA MNUKIO PINDI UNACHOMA MISHIKAKI
Masala ndio nn kiongoziMishikaki masala
tangawizi, kitunguu thomu, bizari nyembamba na uzile inaleta harufu nzuriKatka maPishi ya mishika kunaarufu Fulani ambayo ni mvuto kwa wateja. Je ni viungo Gani uleta LADHA NA MNUKIO PINDI UNACHOMA MISHIKAKI
Umesahau karafuu maitiKwanza utaandaa nyama yako ktk chombo kisha uta changanya ndimu au limao; chumvi; tangawiz; kitunguu thaum;pilipili mtama(unga ) na binzari nyembamba kisha uache mchanganyiko wako kama nusu saa kisha tayari kwa kuoka
Mishikaki masala
Shukran kwa msaada wa picha farkhinaCummin kwa lugha ya wenzetu View attachment 860686
Shukran kwa msaada wa picha farkhina
KumbeKwanza utaandaa nyama yako ktk chombo kisha uta changanya ndimu au limao; chumvi; tangawiz; kitunguu thaum;pilipili mtama(unga ) na binzari nyembamba kisha uache mchanganyiko wako kama nusu saa kisha tayari kwa kuoka
Kumbe na mapishi pia wayajua eehUnatasaga kitunguu saumu,tangawizi pili pili mbichi utachanganya na nyama tia uzile wa unga mdalasini wa unga bizare funika wacha hvyo kwa dakika kadhaa.