Viumbe wanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viumbe wanaume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Apr 1, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Ladies please handle them with care.
  Wapendeni, watiini, wafanyeni waonekane spesho.
  Muonyeshe mwanaome wako jinsi unavyomuonea fahari.
  Mjulishe kuwa wewe ni mwanamke mwenye bahati kwa kumpata mwanaume wako.
  Usimuexpose kwa wenzako watakuibia.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru sana bujibuji huwa tunafanya yote haya ... baadhi huwa hawaelewi eti..hata uwabebe mgongoni na kuwaogesha
   
 3. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,423
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Safi hiyo Bujiii!
   
 4. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Waweza kumuogesha, lakini kama ni kumbeba mgongoni unamaana kuwa nao wawe potable?
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Fikiria unaamka asubuhi unaamshwa na maneno ya matamu kama hayo, au unakuta kikaratasi kwenye waleti au mfuko wa suruali yako wife kakuandikia siutakuwa unatabasamu siku nzima???
   
 6. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwani wakitendewa haya wanona? kiumbe huyu wa ajabu anaeitwa mwanaume huwa haridhiki!
   
 7. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Katika hali ya kawaida, mtu akikutenda jambo zuri hurejeshewa zuri pia. hivo kauri hii sio sahii ya kwamba hawabebeki. Your not innovators, mnafanya bila kumaanisha, mnafanya kama mazoea. 'watch out'
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  unambeba tu kidogo mkidondoka si ndo mahaba yenyewe jamani ..unaijifanya ooh sweet na wewe mzito jamani....kiss kiss kiss
   
 9. coxmase

  coxmase Member

  #9
  Apr 1, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na mayai yake mawili unayaweka kwenye kisosa unayasugua kwa kabrashi kalaiiiniii
   
 10. Sydney

  Sydney Senior Member

  #10
  Apr 1, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi nilijaribu yoote hayo uliyoyataja lakini niliambulia ambayo sikuyatarajia, wanaume ni viumbe wa ajabu sana! Lakini asante kwa kumbukumbu hii, maana naweza kuitumia kwa miaka ijayo mungu akipenda!
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280

  LABDA ULlMUAHIDI KUWA UNAYAWEZA MAPENZI YA KITANGA YA KUBEBANA MGONGONI.
  USIAHIDI USICHOKIWEZA KUKITEKELEZA.
   
 12. P

  Preacher JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2010
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli ni viumbe wa ajabu - unaweza jitahidi kufanya yote hayo mwenzio ataona ni KERO - nadhani the best way ni kuona anapenda hizo treatments? kama ni mfanya biashara tajiri asiyelala masaa mengi - du! ataona unampotezea muda - (just imagining loudly)
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  yaani kwenye mapenzi kuna ahadi tena loh ...
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280

  kuna mapepo wanaitwa nyumba ndogo,
  hao ni noma ukizubaa kidogo wanakupiku kwa mbali kabisaa
   
 15. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hamjambo dada zangu?
   
 16. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #16
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Pole dada,si wanaume wote...binadamu tumeumbwa tofauti
   
 17. kizaizai

  kizaizai JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 2,738
  Likes Received: 1,297
  Trophy Points: 280
  Kuna ka-ukweli kwa mbali , kama hivi!
  Before Marriage:-

  He: Yes! at last it was so hard 2 wait
  she: Do you want me 2 leave?
  He: No! don’t even think about it
  She: Do you love me ?
  He: Of course! over n over!
  She: Have u ever cheated on me?
  He: No! y r u even asking?
  She: Will u go with me on picnic?
  He: Every chance I get!
  She: Will u hit me ?
  He: R u crazy? I’m not that kind of person!
  She: Can I trust u?
  He: Yes..
  She: Darling!
  After marriage…
  Now simply read from bottom to top!​
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Pole sana Syd ni pm sitokuangusha;)
   
 19. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  uncle now ur going to far!nina kitchnpat ya rafiki yangu,but itabidi umfunde mumewe mtarajiwa
   
 20. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hakuna anaeridhika...kuna wanawake hata ukubaliane na u-beijing..uwe jentomen.. atataka zaidi ya hapo..!ndo yaleyale ya libwata!
   
Loading...