Viumbe wanaume

Ladies please handle them with care.
Wapendeni, watiini, wafanyeni waonekane spesho.
Muonyeshe mwanaome wako jinsi unavyomuonea fahari.
Mjulishe kuwa wewe ni mwanamke mwenye bahati kwa kumpata mwanaume wako.
Usimuexpose kwa wenzako watakuibia.

...sawa mpenzi nitafanya hivyo...
...i also expect the same from you...!
 
Na mayai yake mawili unayaweka kwenye kisosa unayasugua kwa kabrashi kalaiiiniii

...ndio hapo napohitaji kuelewa mie ningependa kusikia hasa kutoka kwa wanaume...nini mantiki ya kufanya hivi?..ni part of 'foreplay' ? kuna raha?..ama ni kule kuona mkeo kajipinda..anasafisha sehemu zako spesho ndio unafurahia...lol
...hivi utaruhusu mkeo unayempenda afanye hivi,....
...mie naongea ukweli,nitakuonyesha upendo,nitakukiss nitaduu na wewe ila kuweka mananii yako kny kisahani ni jambo sitolifanya,sielewi na sijawahi kujua nini maana yake!!!(ofcoz ningependa kujua..lol...just for fun!)
 
Kiumbe huyu "mwanaume"ni wa ajabu sana. Mimi mkewe namheshimu sana, nampenda sana, simwiti majina ya ajabu, lakini atakwenda kutafuta wanaomwita majina ya ajabu k.m. buzi, ATM, n.k.

Sijui apendweje huyu kiumbe? Hebu wababa mtusaidie hapa. Mnataka mfanyiwe nini ili muone kuwa mnapendwa kweli kweli??
 
Kiumbe mwanaume! kuna ambao wanafanya mambo yao ya nje lakini heshima kwa mke wake ipo palepale ila basi kuna wale ambao sijui niseme kuwadharau wake zao au ni ubabe tuu kwani wakiwa na watu wao wa nje wanawanyanyasa wake zao, kuwatukana na tena kama mkewe amegundua hilo ugomvi kwa mwanaume ni hasira tuu ndani ya nyumba jamani hebu lifikirien hili...Mi nadhani neno upendo lina maana nying sana ukijaribu kulichambua...Kwenye ndoa kila mmoja mke/mume akijua maana ya ndoa yote yaliyosemwa hapo juu yatafanyika....
 
Ladies please handle them with care.
Wapendeni, watiini, wafanyeni waonekane spesho.
Muonyeshe mwanaome wako jinsi unavyomuonea fahari.
Mjulishe kuwa wewe ni mwanamke mwenye bahati kwa kumpata mwanaume wako.
Usimuexpose kwa wenzako watakuibia.
hapo umenena kweli,hasa hili swala la exposure mmmmh akina dada mngejua hao mashoga zenu,sijui hata kama mngewatambulisha kwa muwapendao,nasema hivi, NI HATARI TUPU.
 
kiumbe huyu "mwanaume"ni wa ajabu sana. Mimi mkewe namheshimu sana, nampenda sana, simwiti majina ya ajabu, lakini atakwenda kutafuta wanaomwita majina ya ajabu k.m. Buzi, atm, n.k.

Sijui apendweje huyu kiumbe? Hebu wababa mtusaidie hapa. Mnataka mfanyiwe nini ili muone kuwa mnapendwa kweli kweli??
jibu maalum hapa hupati,ukismsoma mwenzio anapenda nini na ukamfanyia atajua unampenda.anaweza akaitwa atm nje na matusi kibaooo lakini so long anapata nini roho inapenda basiiiii.
 
Hii inatakiwa iwe applied both ways...

Ladies and Gentlemen please handle your loved ones with care.
Wapendeni, watiini, wafanyeni waonekane spesho.
Muonyeshe mwanaume au mwanamke wako jinsi unavyomuonea fahari.
Mjulishe kuwa wewe ni mwanamke au mwanaume mwenye bahati kwa kumpata mwanaume au mwanamke wako.
Usimuexpose kwa wenzako watakuibia.
 
Mi huwa najiuliza sana, iweje nyumba ndogo imkamate mumeo wakati naye ni mwanamke mwenzio?
Je ni kipi alichokuzidi?
Mbona huko kwa nyumba ndogo mumeo ametulia na hana mahangauiko?
Jiulize, huenda wewe ni mkali sana kwa mumeo, huenda unawaka hasira, huenda ni mchafu, ama humuonyeshi kumjali.
Fanya jitihada umrudishe kwako kungali mapema.
Maana chelewachelwa utakuta mwana si wako.
 
Mi nilijaribu yoote hayo uliyoyataja lakini niliambulia ambayo sikuyatarajia, wanaume ni viumbe wa ajabu sana! Lakini asante kwa kumbukumbu hii, maana naweza kuitumia kwa miaka ijayo mungu akipenda!
Bazazi ametalikiwa na mkewe; Unaonane Sydney?
 
Back
Top Bottom