Nipe muongozo kwa pmUtaweza kufanya kitu nikikuelekeza?
Wala usijali kwakuwa sio siri...nitakupa hapa hapaNipe muongozo kwa pm
sasa mshana, sitakupata vipi ili unipe iyo kituUpo ila hutayaona hayo madubwana pekeyake bali vyote visivyoonekana kwa macho ya kawaida
yap ntajitahidi bwana mshana jr, fanya kweliMmh masharti utayaweza?
Well said mshanaIko hivi mwili ni jumba
Roho ni uhai
Mwili +roho = nafsi ambayo ni wewe
Mkuuu si unataka jamaa aliwe nyama nyt??.Wala usijali kwakuwa sio siri...nitakupa hapa hapa
Tafuta ndimu moja mbichi
Ikate kati kati
Kipande kimoja weka mfuko wa kushoto Kipande cha pili weka mfuko wa kulia
Ponda kitunguu saumu
Kisha jipake kwenye paji la uso
Jipake na mikononi viganjani
Vaa ndala kwa kuzigeuza
Kushoto Vaa kulia
Ya kulia Vaa kushoto
Kisha nenda kamsalimie
Ingia ndani kwake bila kubisha hodi NA usikubali kuangalia pembeni bali mwangalie machoni direct