Viumbe roho havina sura maalum

Viumbe roho havina sura maalum

Ukisoma The Book Of Enoch humo inatajwa kuwa, mapepo ambayo pasi na shaka ndiyo hizo roho unazungumzia, roho za wale majitu (manefili) ambayo yalizaliwa kwa muunganiko wa wanadamu na malaika waasi. Sasa kwa vile Mungu hakupendezwa na uzao huo, aliamua watoto waliozaliwa(majitu), yafe mmoja mmoja, na kuna yaliyokufa kwa kuuana. Na kwa vile majitu hayo hayakuwa binadamu halisi(akifa anakuwa udongo), na hayakuwa malaika(ni roho), ikaamuriwa kuwa, miili yao tu ndiyo itakufa, lakini roho zao zitabaki zikitangatanga duniani. Na ndiyo maana hata Yesu akasema, pepo likitolewa ndani ya mtu, hutafuta eneo la nyika, na kisha likirudi na kukuta mahali pake pamesfishwa, hutafuta mapepo saba maovu zaidi, na kuja nayo, na hali ya pili ya mtu huyo huwa mbaya kuliko ya kwanza. Kwa hivyo, kwa kuwa miili ya majitu hayo ishajiozea, na roho za majitu ziliachwa zitange tange, ndiyo hapo mapepo hayakauki kwa binadamu maana ndimo hayo maroho yanapata hifadhi. Ni kulingana na hicho kitabu na sio concept yangu.
 
Naomba kwa heshima kuu uendelee na nakuahidi sitakwazika kwa lolote lile bali nitajitahidi kwa uelewa Wangu kukujibu..! KARIBU...!!!
Asante mkuu. Nakumbuka mwaka 2008 mwezi wa nane ila tarehe siikumbuki nikiwa Mbeya maeneo ya Mwanjelwa nikiwa ni ugenini kwa kufuata ajira nilikutana na jamaa ambaye nilikuwa namfahamu vizuri kabisa alikuwa umbali kama hatua kumi tu kutoka nilipo mimi tulionana nikaachia tabasamu la shauku naye akaachia lake badae nikaa kumsogelea alipo kitendo cha kuangalia chini tu kidogo nainua kichwa jamaa sikumuona alipo elekea nikawauliza jamaa wawili ambao walikuwa wamekaa wanasoma magazeti nikawauliza huyu jamaa aliyekuwa amesimama hapa ameelekea wapi? hakuna aliyenijibu nikaamua kuachanana nao nikaondoka zangu huku nikiwaza au mshkaji ameona nitampiga mzinga? ah nikaachana nae.Mwaka 2011 nilienda nyumbani kwetu Tabora. katika stori na shangazi yangu nikamsimulia alichonifanyia jamaa kule Mbeya shangazi akaniambia we koma!huyo mtu alishakufa kabla hata wewe haujamaliza shule.nikataka niendelee akasema bwana haya mambo yako mi siyataki basi na mie nikaipotezea ingawa iliniacha na bumbuwazi ......NARUDI KUENDELEA NA MKASA WA PILI.
 
We think we are free from our mind. We thinks we rule our mind. But our minds rules us saaana kuliko tunavyoona.

These ideas have been constructed with our minds now we believe them na kuona its real while its a projection of our understanding on life
 
Nasubiri mpaka mwisho wa simulizi ndio niseme neno
 
Sometimes delusions and illusion of our minds are the products of vague memories and dreadful dreams
 
Ok kama zinaufaham nazinajua zilipo toka na ziendapo kwanini zisimkiri mungu ili zi ulith ufalme wa milele?
 
Ok kama zinaufaham nazinajua zilipo toka na ziendapo kwanini zisimkiri mungu ili zi ulith ufalme wa milele?
Hivi ni uzao wa shetani vinavyoenda kinyume na maagizo ya Mwenyezi Mungu
 
Sawa mpwa na je binadam tukifa roho zetu huwa zinajitambua na kuwa na ufaham kwamba labda nilikuwaga flani au flani huwa zinaona yanayotendeka duniani??
 
Kiukweli pindi usiku ukilala na woga lazma picha kama hizi zinakuijia marakwamara hasa umeme ukatike na upo katika jumba kubwa peke yako aisee huwa natoka nje kabisa nankutafuta pa kwenda maana najiuliza hizi ni nini leo ndo napata maana
 
Sawa mpwa na je binadam tukifa roho zetu huwa zinajitambua na kuwa na ufaham kwamba labda nilikuwaga flani au flani huwa zinaona yanayotendeka duniani??
Inategemea uliweka software gani I mean reincarnation au rebirth?
 
Ukifa mpwa utakuwa mwenyewe kabirini giza balaa so zoeya tu
 
Ukifa mpwa utakuwa mwenyewe kabirini giza balaa so zoeya tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
So unaweza kuwa binadamu tena au mbuzi wakakunywa supu??
 
So unaweza kuwa binadamu tena au mbuzi wakakunywa supu??
Hilo ni jumba tu lisilo na chochote uhai/roho ikishatoka kinachobaki ni nyama choma tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nasubiri mpaka mwisho wa simulizi ndio niseme neno
NAENDELEA HAPA MKUU.......
Nilipata uhamisho nikapelekwa Kigoma ambako ndo nipo huku hadi sasa. Tarehe 09 mwezi huu wa tano nilienda kuhudhuria mazishi ya mama yangu mkubwa niliposhuka stand ya mabasi Tabora nikaenda kwenza toilet ya kulipia ya hapo hapo stand kujihifadhi haja ndogo kabla sijaanza kujisaidia naangalia dirishani kwenye kile kichochoro kinachokatiza hapo choo cha kulipia kinachotoka maeneo yanayopaki malori ya mchanga kwa mnaopajua Tabora,Nikamuona jamaa mwingine tena ambaye yeye alikuwa rafiki yangu wa karibu sana pala mtaani kwetu Isevya lakini naye wakati nafika Tabora mwaka 2011 nilikuta ameshafariki nikaenda tu kumpa pole bibi yake na wadogo zake ambao ndo alikuwa anaishi nao.Sasa nilipomuona sikushtuka alikuwa ananitizama kwa furaha akili ikanituma nitoke nje nikamzuie niongee nae nikatoka mbio nimuwahi kwa mbele cha ajabu sikuona mtu yeyote nikazunguka choo kizima sikuona mtu na chakuhakikisha kabisa kuwa ni yeye ni kovu la usoni kwake pembeni ya pua.sasa hii inshu sikumwambia mtu nikikimbuka na ile ya kwanza shangazi alimuita hadi rafike yake wakanisisitiza niyaongee hayo mambo watu wasije nielewa vibaya.Mpaka leo hii huwa muda mwingine najiuliza au na mimi nilishakufa lakini najikanusha mwenyewe ingawa hadi leo huwa nikiyakumbuka hayyo najionaa
 
NAENDELEA HAPA MKUU.......
Nilipata uhamisho nikapelekwa Kigoma ambako ndo nipo huku hadi sasa. Tarehe 09 mwezi huu wa tano nilienda kuhudhuria mazishi ya mama yangu mkubwa niliposhuka stand ya mabasi Tabora nikaenda kwenza toilet ya kulipia ya hapo hapo stand kujihifadhi haja ndogo kabla sijaanza kujisaidia naangalia dirishani kwenye kile kichochoro kinachokatiza hapo choo cha kulipia kinachotoka maeneo yanayopaki malori ya mchanga kwa mnaopajua Tabora,Nikamuona jamaa mwingine tena ambaye yeye alikuwa rafiki yangu wa karibu sana pala mtaani kwetu Isevya lakini naye wakati nafika Tabora mwaka 2011 nilikuta ameshafariki nikaenda tu kumpa pole bibi yake na wadogo zake ambao ndo alikuwa anaishi nao.Sasa nilipomuona sikushtuka alikuwa ananitizama kwa furaha akili ikanituma nitoke nje nikamzuie niongee nae nikatoka mbio nimuwahi kwa mbele cha ajabu sikuona mtu yeyote nikazunguka choo kizima sikuona mtu na chakuhakikisha kabisa kuwa ni yeye ni kovu la usoni kwake
Kuna mambo matatu hapa
1.astral projection, the ability to see beyond- sixth sense
2. una nguvu ya kuwaona marehemu walikufa kabla ya siku zao...
3. Akili kutengeneza maumbo halisi ya watu ambao hawapo tena duniani ambao unafahamiana nao
 
kwanza asante.Ila bado umeniacha na maswali mengi.
Pili mniwie radhi kwa kupotea potea online kifaa changu kimeishiwa chaji najitahidi kukichaji kwanza tutaendelea Mshana jr.
 
Back
Top Bottom