Viumbe roho havina sura maalum

Viumbe roho havina sura maalum

Kuna mambo matatu hapa
1.astral projection, the ability to see beyond- sixth sense
2. una nguvu ya kuwaona marehemu walikufa kabla ya siku zao...
3. Akili kutengeneza maumbo halisi ya watu ambao hawapo tena duniani ambao unafahamiana nao
kwanza asante.Ila bado umeniacha na maswali mengi.
Pili mniwie radhi kwa kupotea potea online kifaa changu kimeishiwa chaji najitahidi kukichaji kwanza tutaendelea Mshana jr.
 
29a1df6999ccd2df53e480f30a2f2ae2.jpg

Huu ni mjadala mmoja mpana sana ukianzia kwa Mungu mwenyewe, lakini ambaye hapa hatutamjadili yeye wala wale wasaidizi wake wanaoitwa malaika.

Hapa ni kuhusu hawa wanaosumbua uzao wa Mungu kila uchao...! Namaanisha mizimu, vinyamkera, mashetani, vibwengo, majini na majini.

Hawa ni viumbe roho hawana umbo maalum hawana sura maalum wala mwonekano rasmi! Wao huvaa umbo na sura yoyote kulingana na matakwa na mazingira husika!

65fe9ef2993ea6449f39c6c1240cbfeb.jpg

Inawezekana kabisa baadhi yetu wakauliza kuwa ni kwanini sasa kuna picha zake? Jibu ni kwamba zile ni picha za kufikirika kulingana na kile wahanga wanachokiona au kukutana nacho! Simulizi zao na kumbukumbu ya kilichowatokea.

Hivi si viumbe vyema hivyo mara nyingi hujitokeza ama kujipambanua kwa sura na mwonekano 2a kutisha na pia huja na kupotea kiasi kwamba ni ngumu kabisa kupata picha zao halisi

a8967a52032fc53467ae8bb2fe29de66.jpg

chukulia mfano wa wale wanaobanwa na majinamizi usiku kila mmoja ukimuuliza atakupa picha tofauti na hii inatokana na ukweli kwamba yale matukio yaweza kuwa si halisi bali kutokana na kumbukumbu ya matukio yasiyokamilika au viumbe roho vinavyokutokea usingizini.

Leo hii au hata sasa ukimwambia mtu nionyeshe uchawi utaishia kuonyeshwa matunguli pembe mavumba shanga nk

394d01cdeb6afb675b30f8685bfe5a88.jpg

Tumekuwa na mabishano mengi sana hapa jukwaani mengine yenye kujenga mengine yenye kuudhi nk mpaka kufikia wengine kudai ithibati lakini wakaishia kupewa darasa kwasababu ishu za kiroho hazina ithibati za kisayansi kwahiyo wanajukwaa nawaombeni sana siku nyingine tunapojadili hizi habari za kiroho hao viumbe nguvu zake nk tusiwe wagumu wa kuelewa hasa kwenye ishu za picha ushahidi mwonekano na taswira

007693699cf523174d266ea29156646b.jpg
Hiyo ni hallucination, mtu unapata maluwe luwe kama una malaria kichwani.
Kuchanganyikiwa akili, lakini omba Mungu hayo yanatoweka na akili inakaa vyema.
 
Lakini siku ambazo nilizowaona hao watu sikuwa nao akilini hata kidogo na walionichanganya zaidi ni wale jamaa waliokuwa wanasoma magazeti pale Mbeya kwa kunikalia kimya bila kunijibu nilirudia mara mbili nzima kuwauliza ila hawakuonesha hata dalili ya kunijibu.Kingine hizi nguvu za kuwaona zimetoka wapi au mtu ukifanya matendo gani zinakuingia manaake mimi hata sio mteja wa waganga wa kienyeji na huwa sina woga kabisa wa kulogwa hata mchawi akinitishia jibu langu kubwa huwa nawaambia wakapige tu ikikubalika basi itanisambua'.Lakini hadi leo navuta pumzi ya bure.Na kazini kuna mtu tulikuwa na uugomvi baada ya kama mwezi na nusu akaanza kuniita mimi mchawi nikawa napata kiburi kumuona adui yangu ananihofia wakati hata kwa mganga sipajui
Sasa mkuu Mshana jr we nipe tu jibu la moja kwa moja mimi ni mtu wa namna gani na je kuna watu wengine duniani wenye namna kama yangu?
 
Kuna watu wa aina yako wenye kupewa nguvu za asili tangu kuzaliwa wengine ni nguvu ya kimungu wengine ni mizimu wengine ni nguvu ya mashetani na majini
Wewe una miliki mojawapo kati ya hizo
 
Mkuu Mshana ukianza kuyaongelea haya mambo nakumbuka kipindi cha msela Popobawa.. Aisee alijipigia 0713 ,(according to wadaku na wahanga). Eti mr issue ile ya popobawa ilikua kweli.. Na kama ni kweli ilikuaje akaondoka... Je kuna uwezekano akarudi tena.

.???
 
Popobawa alikuwepo kweli na yupo ila ishu yake ilikuzwa sana..ile ni mambo ya wanga na wachawi wenye michezo michafu na tabia mbaya
Imagine kama mwanga ana uwezo wa kuja kukupandia mgongoni ukiwa umelala na akakuchezea anashindwa nini kumalizia?
Cha kushangaza lakini ni kwamba Popobawa hapendi mashoga [emoji87] [emoji23] usiniulize nimejuaje
 
Duuuuh.. Anataka kitu bik** kitu ttatan , kitu mnato . aisee mi hilo dude naliogopa sana.. Kwa maana kwa hiyo mashine niliskia linayo... Cpimii likikudandia... ..
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji26] [emoji26] [emoji144] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kikwel mi hayo mambo nlikua cyaamin na nlikua mpingaji mkubwa.. Ila nilikuja amini cku niliozunguka hospital zote kubwa kumpeleka kaka yng ambae alipigwa sela linaitwa MAKATA.. Aisee jamaa alianza kua kama mtambo hiv.. Ila nashkuru tulifanya mambo na mtaalam flan likasepeshwa.. Ila jinga kichiz lilikazia eti linataka ng'ombe ili litoke... Hv inakuaje hapo kwenye kudai kitu ili atoke?
 
Hilo ni michezo ya wanga tu na wachawi wa level za chini wanaojaribu utaalam wao mpya
 
Back
Top Bottom