Viumbe roho havina sura maalum

Viumbe roho havina sura maalum

Braza mshana kidogo mm swali langu lipo nnje ya mada miaka ya nyuma, nilikuwa nakaa na bibi yangu uswahilini, si unajua uswahilini mara mtu kaomba mboga, mara chumvi, moto na kadhalika, lkn bibi alikuwa hatoi moto kama akiombwa, ukimwomba kitu chochote anakupa, Kuna siku nikamuuliza hv kwa nini ukiombwa moto huwaga hutoi, akanijibu kwa kifupi watu huwa wanatumia kwa mambo yao ya kishirikina, ila hakuniweka wazi, je kaka mshana Kuna ukweli juu ya hii ishu ya moto?
 
Mshana Jr ,,, Kama Mtu Ana Majini Anatakiwa Atumie Dawa Gani Ili Kuyafukuza Mwilini Mwake ,,,
Majini hayana dawa maalum ya kuwafukuza kwa uzoefu Wangu mimi nimeona ni dua maombi na wengine hutumia mazao ya kitimoto
 
Braza mshana kidogo mm swali langu lipo nnje ya mada miaka ya nyuma, nilikuwa nakaa na bibi yangu uswahilini, si unajua uswahilini mara mtu kaomba mboga, mara chumvi, moto na kadhalika, lkn bibi alikuwa hatoi moto kama akiombwa, ukimwomba kitu chochote anakupa, Kuna siku nikamuuliza hv kwa nini ukiombwa moto huwaga hutoi, akanijibu kwa kifupi watu huwa wanatumia kwa mambo yao ya kishirikina, ila hakuniweka wazi, je kaka mshana Kuna ukweli juu ya hii ishu ya moto?
Mmh hili ni jipya kwangu ila kuna mada moja kule ya Mtu mzito inajibu mambo ya kishirikina kwa ufasaha sana hebu itembelee
 
.
6512450_0.jpeg

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom