Vituo vya daladala vyenye majina ya ajabu

Vituo vya daladala vyenye majina ya ajabu

makojo kiko musoma hicho, kwa mrefu kiko arusha, tongozi kiko morogoro hiki, kilima n.y.e.ge kiko masaki dar,
mandazi kiko msasani dar, kipati kiko mbagala hiki , koinange hiki kiko Nairobi city center,
 
kituo cha Airport kama unaenda gomz wanakiita "Njia panda ya Ulaya"
 
"kinyantira, kibeberu, misitu" hivyo vinapatikana Kitunda
 
mwisho wa lami ila cha ajabu lami inaendelea
 
mkorosho kigori, mkuranga.....
 
Last edited by a moderator:
Kwa mbilinyi. Hapo ni kwa mr two. Mzee wake alikuwa maarufu.
 
Back
Top Bottom