Cassava
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 282
- 36
Wadau,habari zenu nijuavyo haya majina ya vituo vya daladala yalikuwa yanawakilisha asili ya kitu,eneo,mtu au mazingira fulani.ila majina ya vi2o vya tandale na sinza huwa vinanifurahisha sana utasikia kwa bibi nyau,kwa tumbo,popobawa! Na mengine ya kufanana nayo.
Tupia majina ya vituo vyenye majina ya ajabu kama haya!.nawasilisha
Kwa 'Lushino' kituo kiko Iringa. Lushino maana yake muulize muha naogopa kuitaja hapa.