Vituo vya daladala vyenye majina ya ajabu

Vituo vya daladala vyenye majina ya ajabu

komakoma Mwananyamala(makonda wanasemaga mshenzi-mshenzi)
 
Tutaje na Mikoa mingine kama vile Chumvini. Tanga ukiwa unaenda Mombasa HoroHoro road.
 
Kngne kinaitwa mtoto wa simba,nimesikia hapa kwny habari ndo kpo wp hk?
 
Bong'oa nkusweke, mchambia wima, kibanda maiti, ---- kuntamu...
 
Wadau,habari zenu nijuavyo haya majina ya vituo vya daladala yalikuwa yanawakilisha asili ya kitu,eneo,mtu au mazingira fulani.ila majina ya vi2o vya tandale na sinza huwa vinanifurahisha sana utasikia kwa bibi nyau,kwa tumbo,popobawa! Na mengine ya kufanana nayo.
Tupia majina ya vituo vyenye majina ya ajabu kama haya!.nawasilisha

Mkata mavi
 
Mbeya kuna,kwa Mama johni,Ilomba na Mafinga Iringa kuna, kwa mama mkwe.
 
Mbeya kuna,kwa Mama johni,Ilomba na Mafinga Iringa kuna, kwa mama mkwe.
 
kamanyola...kiembe mbuzi,mwembe chai,mpeketoni
 
Back
Top Bottom