kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 17,647
- 14,794
Yap! kama umewahi kusafiri route ndefu kidogo ndani ya nchi yetu kuna vile vituo vya dakika 10.
dar to mtwara & lindi- ni pale nangurukuru.
dar to dodoma, singida, tabora and lake zone- ni pale gairo.
Mwanza to Arusha, Moshi- ni pale singida.
Dar to Arusha & Moshi mara nyingi ni highway, Liverpool restaurant au transit hotel
Wale wa Dar to Iringa & Mbeya- ni pale aljazira mikumi na pale pengine..
taja kituo unachokijua........
kwa wale wa route ndefu kidogo..