Vituo maarufu kwa wasafiri wa mabasi...

kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
16,301
12,883
Yap! kama umewahi kusafiri route ndefu kidogo ndani ya nchi yetu kuna vile vituo vya dakika 10.

dar to mtwara & lindi- ni pale nangurukuru.

dar to dodoma, singida, tabora and lake zone- ni pale gairo.

Mwanza to Arusha, Moshi- ni pale singida.

Dar to Arusha & Moshi mara nyingi ni highway, Liverpool restaurant au transit hotel
Wale wa Dar to Iringa & Mbeya- ni pale aljazira mikumi na pale pengine..

taja kituo unachokijua........
kwa wale wa route ndefu kidogo..
 

kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
16,301
12,883
Kuna dar to northen zone(arusha & kilimanjaro) hapa wengine husimama korogwe (transit hotel) au mombo (liverpool restaurant).
 

kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
16,301
12,883
Mkuu acha kbs pale HighWay.
Me wale Mbuzi wao tu, hoi yaani nalalwa kbs.
minyamanyama mipokopokomanjari plus michips,
Yahlaaaa nafwa mieeeeee.

Safi sana, safari huanza kunoga kuanzia hapo..unashushia na chaubarid
 

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
28,904
29,124
Mmmhhhh ukitoka lushoto
nitakupeleka ruddy's farm ukale minyama ya nguvu,mwambie
Kongosho mje naye.

Hiyo minyama isiyokuwa na mfupa huko ruddy's farm hata siitaki.
nyama ina mishipa kibao hata mfupa haina!!!!!
Raha ya nyama ukutane na mfupa.
 
Last edited by a moderator:

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
28,904
29,124
Safi sana, safari huanza kunoga kuanzia hapo..unashushia na chaubarid

Yaani mkuu mi nikifikaga pale, roho yangu kwatuuuuuu.
Nakulaje minyama sasa.
ila washambawashamba kama akina Bishanga hawatuelewi tuongeacho.
 
Last edited by a moderator:

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,006
23,862
Ulishawahi kutana na mfupa wa Bishanga? Mlaini kweli, hauna hata mazara

Hiyo minyama isiyokuwa na mfupa huko ruddy's farm hata siitaki.
nyama ina mishipa kibao hata mfupa haina!!!!!
Raha ya nyama ukutane na mfupa.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom