Vituo maarufu kwa wasafiri wa mabasi...

Ukitoka Arusha kwenda Musoma kuna sehemu huko mbugani panaitwa Seronera ni soo kwa nyama za kuku. Ukitoka Dar kwenda Moshi/ Arusha kuna Highway hotel ambayo kiukweli wanaelekea kuwafunika wale waarabu wa Liverpool kina Mohamed Ferej.

Mkuu hii Seronera bado ina kuku?
 
Back
Top Bottom