Aisee!! Nimepigwa surprize leo.
P2. Toka awe Prep1 anakuwaga #1&2 kwa kila mtihani wanaofanya..
I wasn't concerned na kuwa wa kwanza au pili, nilichokuwa najali ni anajua kila concept ya anachofundishwa..
Daaah! Leo anakuja hapa amekuwa wa 9..
Aisee nimejikuta sijali tena kama anajua concept au nini, why awe wa 9? Anajitetea but i have A plus all subjects-- Najikuta simuelewi!
Sema dogo carroons zimemuelemea..