Vituko vya watawala wa Afrika

Mi nikiwa rais baadhi ya viungo vyangu ningevipa uwaziri eg MGEGEDO a.k.a GOBOLE
 
Dr. Shein aliahidi kuigeuza Zanzibar kuwa Dubai akichaguliwa kuwa raisi Bado kila nikienda Zanzibar ni kama Ruvuma tu 🤣 🤣
 
Afrika hatujawai kuwa serious kabisa toka Dunia imeanzishwa..

Wazungu wametuachia mifumo ya kijinga sana na nidhamu za kifala..

Watu kama MKWAWA wakifufuka leo wanaeza fikiri bado tunaongozwa na wakoloni.
Heri ni kuongozwa na wakoloni kuliko hawa watawala wa kiafrica
 
Mawaziri nchini Cameroon mara nyingi huwa wanalazimika kukutana na Rais wao Paul Biya airport kwa ajili ya shughuli za kiserikali kwa sababu anaendesha nchi yake kutokea Intercontinental Hotel iliyoko Geneva, Switzerland, Ulaya.
Mkubwa ipi sababu ya huyu mwamba kuishi hotelini
 
Back
Top Bottom