Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
[emoji1787][emoji1787] hiz shule hazufai kama unampenda mwanao
Hii picha imenikumbusha kipindi nasoma Pugu boys wazee wa pond, kuna mijamaa ilikuwa kwenye uongozi wa wanafunz basi ikiingia dining inatoka na minyama na wali kama wote huku sie wengine tukiwekewa kinyama kimoja kimoja, cha kufurahisha wengi wao walikuja taga
Mayai mangapi?Hii picha imenikumbusha kipindi nasoma Pugu boys wazee wa pond, kuna mijamaa ilikuwa kwenye uongozi wa wanafunz basi ikiingia dining inatoka na minyama na wali kama wote huku sie wengine tukiwekewa kinyama kimoja kimoja, cha kufurahisha wengi wao walikuja taga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii picha imenikumbusha kipindi nasoma Pugu boys wazee wa pond, kuna mijamaa ilikuwa kwenye uongozi wa wanafunz basi ikiingia dining inatoka na minyama na wali kama wote huku sie wengine tukiwekewa kinyama kimoja kimoja, cha kufurahisha wengi wao walikuja taga
ungeenda kula wali au half cake kwa mama Pendo (R.I.P) au mihogo mwisho wa lami, au ulikuwa unaogopa kilima cha baghday au pori la jeshi?Hii picha imenikumbusha kipindi nasoma Pugu boys wazee wa pond, kuna mijamaa ilikuwa kwenye uongozi wa wanafunz basi ikiingia dining inatoka na minyama na wali kama wote huku sie wengine tukiwekewa kinyama kimoja kimoja, cha kufurahisha wengi wao walikuja taga
Umeona eenhh??!!!,Ni vituko tu[emoji1787][emoji1787] hiz shule hazufai kama unampenda mwanao
Duuhh mama Pendo kumbe alifariki mkuu? Apumzike salama ametu save sana tuliokuwa tunachelewa dining na kukuta ma dish meupe pee.ungeenda kula wali au half cake kwa mama Pendo (R.I.P) au mihogo mwisho wa lami, au ulikuwa unaogopa kilima cha baghday au pori la jeshi?
Viongozi wa msosi lazima wafeliHii picha imenikumbusha kipindi nasoma Pugu boys wazee wa pond, kuna mijamaa ilikuwa kwenye uongozi wa wanafunz basi ikiingia dining inatoka na minyama na wali kama wote huku sie wengine tukiwekewa kinyama kimoja kimoja, cha kufurahisha wengi wao walikuja taga
Daaah umenikumbusha mbali kidogo, baghdadi pale Kuna jamaa alikuwa anaitwa Omary, alikuwa anauza mihogo mizuri sanaungeenda kula wali au half cake kwa mama Pendo (R.I.P) au mihogo mwisho wa lami, au ulikuwa unaogopa kilima cha baghday au pori la jeshi?