Vituko vya Wakubwa...................

Vituko vya Wakubwa...................

Hapa kwetu Rais anatembea na Ambulance katika msafara wake
 
Nimewahi kuhesabu idadi ya magari katika msafara wa First Lady Salma Kikwete yanafikia saba, hesabu madereva, wapambe wanaosubiri nk....hii nimeona kwa macho yangu
 
Rais wa Kwanza wa Zambia Keneth Kaunda anatembea na kitambaa cheupe ambacho huvuta mara nyingi..inasemekana kina dawa fulani ya kuvuta..........(siitaji)
 
Back
Top Bottom