Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Niliwahi kushuhudia aliyekua Waziri Mkuu ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiwasha Sigara kwenye Mwenge mara tu baada ya kuuwasha (nilimuona akihangaika kutafuta kkibiriti bila mafanikio akaona isiwe taabu)
Una kituko kingine cha mkubwa ulichowahi ona/simuliwa?
Una kituko kingine cha mkubwa ulichowahi ona/simuliwa?