Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
- Thread starter
- #21
hii nayo inaingia kwenye orodha View attachment 79651
aisee una hatari sana wewe
:confused2::confused2:Mmmmh atakuwa ni wa ngapi huyo???? Ni wa first.....dy au wa huku uraiani????:confused2: Hiyo kali.Rai JK ndiye Rais wa kwanza kupata mtoto akiwa Ikulu...unalijua hili?
Mwandishi wa Rais Mwinyi Habib Hlahala aliwahi kukatwa na pangaboy la ndege ya Rais na kufariki hapo hapo wakati akipiga picha za matukio.............
Baada ya Kifo chake Wazirii Mkuu Marehemu EM Sokoine (RIP) alikutwa na suti nne tu!!!!
Benard Membe aliwahi kumwakilisha Rais JK baada ya mh kuchomoa kwani aligundua kwamba ile sherehe lazima uvae vazi la Taifa ambalo ni SKETI NA BLAUZI...wanaojua nchi wanikumbushe hapa.................