Sasa Mlitaka iwe sh. ngapi?
Hebu tuitazame kwa kina kama itatuingia akilini!
1)Wale njiwa waliachiwa kama ishara ya ufunguzi kila mmoja alinunuliwa Tsh. 16,000/=
2)Original Komed kutoka Dar malipo ni Tsh,12,000,000/=
3)Kundi la Daimond kutoka Dar malipo ni Tsh. 10,000,000/=
4)Vitambaa vya mapambo ni Tsh. 4,000,000/=
Hii ni sehemu ndogo tu ya uvujaji wa kodi ya Watanzania ambao hakika wananyang'anywa na serikali ya ccm ambyo kwa kweli wana wakati mgumu hapo mbele kwa Wanainchi!

Jibu swali kwanza then tuongee mengineMmmmmmhh! Wewe kwa mtazamo wa ufikiri wa kichwa chako ulichonacho ni kwamba unaona kuna usahihi wowote katika maamuzi hayo? Ama haulipagi kodi nini? Hauna hata machungu na jasho lako mwenyewe? Kweli kuna member mizigo humu! Pole kijana!
Ina maana bei ya njiwa mmoja ni zaidi ya kitoweo KUKU...ngoja nami nianze kufunga njiwa watakua wanalipa si mchezo
Jamani eti TBCCCM Na nikweli hahahahahahaha eti ukweli na uhakika upi huo?
Kila siku serikali yetu inapigania maslahi ya wasanii wetu sasa ulitaka wao ndio wawe wa kwanza kuwadhulumu? kuwalipa hivyo vimilioni kumi na kumi na mbili imekuwa nongwa? waache wasanii wetu walipwe vizuri.
Unazindua jiji Arusha, unaleta wasanii wa Dar!!
Wapi Mandojo&Domokaya.?
Wapi Watengwa na Kijenge Juu?
Wapi Nako2Nako soldierz?
Wapi Pakajimmy na ArushaWing Crew?
My hairz!!
Sasa Mlitaka iwe sh. ngapi?
Hebu tuitazame kwa kina kama itatuingia akilini!
1)Wale njiwa waliachiwa kama ishara ya ufunguzi kila mmoja alinunuliwa Tsh. 16,000/=
2)Original Komed kutoka Dar malipo ni Tsh,12,000,000/=
3)Kundi la Daimond kutoka Dar malipo ni Tsh. 10,000,000/=
4)Vitambaa vya mapambo ni Tsh. 4,000,000/=
Hii ni sehemu ndogo tu ya uvujaji wa kodi ya Watanzania ambao hakika wananyang'anywa na serikali ya ccm ambyo kwa kweli wana wakati mgumu hapo mbele kwa Wanainchi!
Tambiko!Jaman kweli ni chukua chako mapenzi! Walikua njiwa wa ngapi na walikua na maana gani kwasababu mi binafsi cjui kabisa kua wana maana gani!?
Muhimu kwa nani? tuanzie hapo kwanzakwani wewe unaona hiyo expenditure ilikuwa na umuhimu?!
hizo pesa wange chimba visima!
dogo anakula shavu huyu...ndio maana jinsi siku zinavyoongezeka lile DOMO linaendelea kuumuka tu...
Muhimu kwa nani? tuanzie hapo kwanza