Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
Huu ni ujinga sasa,yaani wewe umecopy kwenye uzi wa Uzinduzi wa jiji la Arusha wakomba 114ml kisha umechukua data na kuja kuanzisha uzi mwingine!!!! Zitakuwa nyuzi ngapi sasa zinazofanana?????
Huu ni ujinga sasa,yaani wewe umecopy kwenye uzi wa Uzinduzi wa jiji la Arusha wakomba 114ml kisha umechukua data na kuja kuanzisha uzi mwingine!!!! Zitakuwa nyuzi ngapi sasa zinazofanana?????
sory kiongozi uzi huu nimeukuta katika email yangu ya hotmail, mi nkaona niutupie hapa kumbe ulisha letwa, consider my apology
napenda sana kusoma ulichoandika unaandika sense lakini leo umeniangusha.hayo ni maumbile Mungu kampa hakupenda