Vituko vya uzinduzi wa JIJI la Arusha!

Vituko vya uzinduzi wa JIJI la Arusha!

Unazindua jiji Arusha, unaleta wasanii wa Dar!!
Wapi Mandojo&Domokaya.?
Wapi Watengwa na Kijenge Juu?
Wapi Nako2Nako soldierz?
Wapi Pakajimmy na ArushaWing Crew?

My hairz!!

nashangaa wapi Chimbende
 
Du nianze ufugaji wa njiwa fasta ili wakija kwetu Rukwa kuitunuku kuwa jiji watumie njiwa wangu
 
hebu tuitazame kwa kina kama itatuingia akilini!

1)wale njiwa waliachiwa kama ishara ya ufunguzi kila mmoja alinunuliwa tsh. 16,000/=

2)original komed kutoka dar malipo ni tsh,12,000,000/=

3)kundi la daimond kutoka dar malipo ni tsh. 10,000,000/=

4)vitambaa vya mapambo ni tsh. 4,000,000/=

hii ni sehemu ndogo tu ya uvujaji wa kodi ya watanzania ambao hakika wananyang'anywa na serikali ya ccm ambyo kwa kweli wana wakati mgumu hapo mbele kwa wanainchi!

ni njia rahisi ya kuingiza pesa kwenye mzunguko ; mwanangu uchumi umekupita kushoto; km wangewapa wageni , hiyo kitu ingine; kumbe wazawa zafi cn
 
dogo anakula shavu huyu...ndio maana jinsi siku zinavyoongezeka lile DOMO linaendelea kuumuka tu...

napenda sana kusoma ulichoandika unaandika sense lakini leo umeniangusha.hayo ni maumbile Mungu kampa hakupenda
 
KWA HISANI YA Antar bin Shaddad

uzinduzi wa jiji la arusha uliofanyika Ijumaa iliyopita ambao mgeni rasmi alikuwa mheshimiwa rais jakaya kikwete umegharimu milioni 114.Je kiasi ni halilali kutumika kwa sherehe ya masaa matatu tu wakati halmashauri inakabiliwa na matatizo lukuki!hapo chini ni baadhi ya michanganuo ya matumizi ya fedha ziliztumika. Mfano Original comedy na Diamond walilipwa mailioni but hawakuparfom kutokana na ratiba ya shughuli kubana na walilipwa fedha zote.

"Kazi ni Kwako"!!!!!!!!

Gharama za uzinduzi wa Jiji

1.Kikundi cha Orijino comedy Tshs 12mil
2.Msanii Diamond Tshs 10mil
3.Fulana 3,000 Tsh 26mil
4.Mapambo uwanja wa mpira Tsh 4,517,500
5.Ununuzi wa zulia Jekundu Tshs 2,475,500
6.Mapambo mnara wa Mwenge Tshs 2,500,000
7.Ununuzi wa njiwa Tshs 1,620,000
8.Kikundi cha ngoma ya kimasai 1,050,000
9.Kikundi cha JKT oljoro Tsh 1,500,000
10.Mapambo kitambaa Tshs 385,000
11.Vibao vya uzinduzi(mawe)Tshs 1,980,000
12.Jiwe la uzinduzi barabara za TSCP 1,840,000
13.Kukodisha horn speakers 1mil
14.Kutengeneza matangazo makubwa manne Tshs 6,400,000
15.Mabango makubwa 4 ya mipakaniTshs 7,079,000
16.Ufunguo wa jiji 950,000

  • Frame ya cheti cha jiji 150,000
  • Matangazo roll up bunners 1mil
  • Wheel covers 25 Tshs 1,275,000
  • Hang up bunners tshs 2,430,000
  • Ratiba 300 1,200,000
  • Makala maalum TBC 5,000,000
  • Kipindi maalum Star Tv 700,000
  • Tangazo maalum TBC 2mil
  • Matangazo Redioni na magazetini 1mil
  • Waandishi wa habari 1.5mil
  • Uandaaji na usambazaji wa barua za mialiko Tshs 1,526,000
  • Chakula cha mchana Mount Meru hotel kwa msafara wa Mh Rais 15mil

GRAND TOTAL 114,149,500.
 
Unazindua jiji Arusha, unaleta wasanii wa Dar!!
Wapi Mandojo&Domokaya.?
Wapi Watengwa na Kijenge Juu?
Wapi Nako2Nako soldierz?
Wapi Pakajimmy na ArushaWing Crew?

My hairz!!

kudadek..hata wa le madogo wa kushake..Conting...akina Ravo..
 
Ngja kwanza mh.lema arudi jjn mwne mambo yanavyokwenda mi nazn bdo wameharakisha 2kuzindua jiji maana bado linatakiwa lijengwe au mdio hz brbara mbilli tatu na mwisho wa jiji kusini ni upand
 
Ngja kwanza mh.lema arudi jjn mwne mambo yanavyokwenda mi nazn bdo wameharakisha 2kuzindua jiji maana bado linatakiwa lijengwe au mdio hz brbara mbilli tatu na mwisho wa jiji upande wa kusini wap?
 
Pukudu Nashukuru kwa kuileta mtiririko wote ukiwa ktk msimamo mwangavu na wanaJF waifaidi na kujua ufisadi ya chama cha mafisadi!

HONGERA SANA!

KWA HISANI YA Antar bin Shaddad

uzinduzi wa jiji la arusha uliofanyika Ijumaa iliyopita ambao mgeni rasmi alikuwa mheshimiwa rais jakaya kikwete umegharimu milioni 114.Je kiasi ni halilali kutumika kwa sherehe ya masaa matatu tu wakati halmashauri inakabiliwa na matatizo lukuki!hapo chini ni baadhi ya michanganuo ya matumizi ya fedha ziliztumika. Mfano Original comedy na Diamond walilipwa mailioni but hawakuparfom kutokana na ratiba ya shughuli kubana na walilipwa fedha zote.

"Kazi ni Kwako"!!!!!!!!

Gharama za uzinduzi wa Jiji

1.Kikundi cha Orijino comedy Tshs 12mil
2.Msanii Diamond Tshs 10mil
3.Fulana 3,000 Tsh 26mil
4.Mapambo uwanja wa mpira Tsh 4,517,500
5.Ununuzi wa zulia Jekundu Tshs 2,475,500
6.Mapambo mnara wa Mwenge Tshs 2,500,000
7.Ununuzi wa njiwa Tshs 1,620,000
8.Kikundi cha ngoma ya kimasai 1,050,000
9.Kikundi cha JKT oljoro Tsh 1,500,000
10.Mapambo kitambaa Tshs 385,000
11.Vibao vya uzinduzi(mawe)Tshs 1,980,000
12.Jiwe la uzinduzi barabara za TSCP 1,840,000
13.Kukodisha horn speakers 1mil
14.Kutengeneza matangazo makubwa manne Tshs 6,400,000
15.Mabango makubwa 4 ya mipakaniTshs 7,079,000
16.Ufunguo wa jiji 950,000

  • Frame ya cheti cha jiji 150,000
  • Matangazo roll up bunners 1mil
  • Wheel covers 25 Tshs 1,275,000
  • Hang up bunners tshs 2,430,000
  • Ratiba 300 1,200,000
  • Makala maalum TBC 5,000,000
  • Kipindi maalum Star Tv 700,000
  • Tangazo maalum TBC 2mil
  • Matangazo Redioni na magazetini 1mil
  • Waandishi wa habari 1.5mil
  • Uandaaji na usambazaji wa barua za mialiko Tshs 1,526,000
  • Chakula cha mchana Mount Meru hotel kwa msafara wa Mh Rais 15mil

GRAND TOTAL 114,149,500.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani viongozi wetu upstairs hakuko salama haki ya mama!
 
wana jamvi ijumaa iliyopita palifanyika uzinduzi wa jiji la arusha na gharama zilizotumika ni zaidi ya milioni 114,
gharama hizo ni mapambo kulipa vikundi vya sanaa nk
lakini tunambiwa kuwa msanii
1. diamond alilipwa mil 10,
2. na original commedy mil 12
3.Fulana 3,000 Tsh 26mil
4.Mapambo uwanja wa mpira Tsh 4,517,500
5.Ununuzi wa zulia Jekundu Tshs 2,475,500
6.Mapambo mnara wa Mwenge Tshs 2,500,000
7.Ununuzi wa njiwa Tshs 1,620,000
8.Kikundi cha ngoma ya kimasai 1,050,000
9.Kikundi cha JKT oljoro Tsh 1,500,000
10.Mapambo kitambaa Tshs 385,000
11.Vibao vya uzinduzi(mawe)Tshs 1,980,000
12.Jiwe la uzinduzi barabara za TSCP 1,840,000
13.Kukodisha horn speakers 1mil
14.Kutengeneza matangazo makubwa manne Tshs 6,400,000
15.Mabango makubwa 4 ya mipakaniTshs 7,079,000
16.Ufunguo wa jiji 950,000

Frame ya cheti cha jiji 150,000

Back
Top Bottom