Vituko vya sikukuu

Vituko vya sikukuu

nyiokunda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
2,135
Reaction score
1,303
Heri ya sikukuu ya Idd, ila kuna vimbwanga mitaani hasa tunaishi wilaya ya Temeke. Watu wanazulula mtaani na watoto Hadi usiku kupiga picha na Bar zimejaa watu wakorofi kidogo Tu wanarusha chupa.

Sare za vijora vimejaa mtaani. Magari yamejaa kelele tupu wanaenda beach. Nashangaa Sana.
 
Ndio mambo ya sherehe ya Sikukuu na leo watatombwa sana na kutombana yaan leo idadi ya mimba itakua kubwa mno kuliko kipindi chote, inaitwa fungulia mbwa hio uchafu wote unaoujuaa wewe utafanyika leo na kesho watalewa na kulewa
 
Huku kwetu kitimoto kinauzwa 17000 wakati jana ilikuwa 7200 pesa za kitanzania.
 
Makafiri washapata hoja

Kuna sehemu wanayokunywa pombe hovyo kama Moshi siku ya Christmas?
 
Huku kwetu kitimoto kinauzwa 17000 wakati jana ilikuwa 7200 pesa za kitanzania.
Soda ya 600 inauzwa 800
Maji makubwa ya 700 yanauzwa 1000
Maji madogo ya 500 yanauzwa 700

Hizo bidhaa kwa uchache zimepanda ghafla kuanzia jana
 
Ndio mambo ya sherehe ya Sikukuu na leo watatombwa sana na kutombana yaan leo idadi ya mimba itakua kubwa mno kuliko kipindi chote, inaitwa fungulia mbwa hio uchafu wote unaoujuaa wewe utafanyika leo na kesho watalewa na kulewa
Harafu wakitoka hapo wanakuita kafir ..............usiniguse utanitoa udhu kumbe na saizi ya marinda imeongezwa
 
Duuh sio poa kabisa yaan huku ni makelele mtindo mmoja sio mchezo yaan leo ni balaa zito na kesho wanamalizia walipoanzia nasikia mkuu wa meza amehadimika ghafla
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom