Elections 2010 Vituko vya Rostam Aziz

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
KWENYE TOLEO LA LEO LA GAZETI LA MTANZANIA LINALOMILIKIWA NA KAMPUNI ILIYO CHINI YA ROSTAM IMEJARIBU KUGUSA MAISHA BINAFSI YA NDOA YA DR SLAA, KIUJUMLA LENGO LA HABARI NI KUMDHARIRISHA DR SLAA MBELE YA UMMA,

JE WANATAKA TUANZE KUCHOKOANA MAISHA BINAFSI YA WAGOMBEA NA UCHAFU WAO?WANACHOKOZA NYUKI JE WANAWEZA KWELI KUKIMBIA?

MGOMBEA WAO ALITAMKA MBELE YA WATU KUWA ANA WATOTO NANE NA MKE MMOJA TU,JE WANATAKA NASI TUCHOKONOE ZAID
I?:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
CHADEMA wanayo hoja nzito ya jinsi serikali ilivyowekwa madarakani na mafisadi na hivyo kukosa uwezo wa kuwashughulikia mafisadi hao (the likes of kagoda) na hivyo maisha ya mtanzania kuendelea kuwa magumu kwa kasi zaidi kama ilivyo kauli mbiu yao msimu huu.
On the other side, kwa kuwa CCM hawana hoja mbele ya wananchi, hawana chaguo lingine isipokuwa kwenda personal.
 
KWENYE TOLEO LA LEO LA GAZETI LA MTANZANIA LINALOMILIKIWA NA KAMPUNI ILIYO CHINI YA ROSTAM IMEJARIBU KUGUSA MAISHA BINAFSI YA NDOA YA DR SLAA,KIUJUMLA LENGO LA HABARI NI KUMDHARIRISHA DR SLAA MBELE YA UMMA,JE WANATAKA TUANZE KUCHOKOANA MAISHA BINAFSI YA WAGOMBEA NA UCHAFU WAO?WANACHOKOZA NYUKI JE WANAWEZA KWELI KUKIMBIA?MGOMBEA WAO ALITAMKA MBELE YA WATU KUWA ANA WATOTO NANE NA MKE MMOJA TU,JE WANATAKA NASI TUCHOKONOE ZAIDI?:eyebrows::eyebrows::eyebrows:

uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...utauwa bendi ni listi ndefu it can beats 19......
 
Ngoja na sisi tuzindue kampeni zetu keshokutwa tuanze moto wetu
 
Nimesoma ujinga aliouandika mhariri wa gazeti la Mtanzania kuhusu Dk Slaa. Ni wazi hayo ni maelekezo aliyopewa kwa lengo la kumchafua Dk Slaa. Lakini iwapo Chadema watajibu mapigo na kuchambua uchafu wa kutisha wa mgombea wa CCM patatosha kweli? Watakuwa wavumilivu? Ngoja tusubiri. Hata hivyo, sisi wapiga kura hatuoni suala la kuacha mke na kuoa mwingine kama ni kashfa. Tutampigia kura mgombea ambaye tunaamini ana dhamiri ya dhati ya kupambana na ufisadi na anayejali maslahi ya Watanzania. Tunatambua kuwa ufisadi ndio adui namba moja wa Watanzania kwa sasa. Utawala wa awamu ya nne umewalea mafisadi na kuididimiza nchi kwenye dimbwi la umaskini. Tunasema: Kumepambazuka! Watanzania hawadanganyiki tena
 
KWENYE TOLEO LA LEO LA GAZETI LA MTANZANIA LINALOMILIKIWA NA KAMPUNI ILIYO CHINI YA ROSTAM IMEJARIBU KUGUSA MAISHA BINAFSI YA NDOA YA DR SLAA,KIUJUMLA LENGO LA HABARI NI KUMDHARIRISHA DR SLAA MBELE YA UMMA,JE WANATAKA TUANZE KUCHOKOANA MAISHA BINAFSI YA WAGOMBEA NA UCHAFU WAO?WANACHOKOZA NYUKI JE WANAWEZA KWELI KUKIMBIA?MGOMBEA WAO ALITAMKA MBELE YA WATU KUWA ANA WATOTO NANE NA MKE MMOJA TU,JE WANATAKA NASI TUCHOKONOE ZAIDI?:eyebrows::eyebrows::eyebrows:

Mzee tupe list tafadhali.... wameenda mbali zaid na kuwapa kidogodogo waganga njaa wa clouds kwenye kipindi chao cha leo (24.08.2010) ili walitangaze gazeti hilo kwa maana magazeti ya NHC siku hizi ni ya kufungia maandazi (hayasomwi na wengi)
 
Ngoja tuingie kazini. Wameanza, sisi tutamaliza. Nimewasikiliza waganga njaa wa Clouds. Inasikitisha kuona jinsi mafisadi wanavyoweza kuwatumia wanahabari wetu (most of them are not professionals anyway) kuupotosha umma wa Watanzania. Kwa hili walilolianzisha watajuta! Stay tuned!
 
Rostam na wenzake wanahaha!Wanajaribu kuexhaust any possible angle lakin watashindwa!Kama wanaenda personal then itakula kwao!
 
Na tutaweka majina ya wanawake wote alio******na afya zao kwa sasa,wamemwaga ugali nasi tunakuja kumwaga mboga
 
please not in JF... wekeni link tuifuate... wasije wakapata sababu ya kufunga mtambo huu wa kurekebisha tabia
 
ONYO:
Tunasema hivi, wasidhubutu kushika punda matakoni watakiona cha mtema kuni. Maisha ya mtu binafsi yasijadiliwe kabisa. Vimada wa KMJ tunawajua wote
 
Achana na wapuuzi hao. Nani msafi CCM? Ukiona simba kalowa usifikiri ni nyani dume
 
Huyo ana uchafu zaidi ya huo uliripotiwa leo... Ukweli unauma!
Katika hizi siasa za leo za Tanzania, nani msafi kuliko mwingine ili mtupe nguvu sisi tusio na chama. Maana tusiongee ya Chadema tu kumbe huku kwetu kuna mambo ya aibu yanayotisha na kutia kinyaa zaidi. Vinginevyo, ni bora kupiga kampeni kwa vigezo vya kisiasa zaidi kuliko haya mambo ya kuoa na kuacha.
 
Back
Top Bottom