Elections 2010 Vituko vya Rostam Aziz

chama cha mafisadi hawawezi kuwa na point ya kuongea zaidi ya kudanganya wananchi na kugusia maisha ya watu ili wakati mnabishana wao wanaendelea kutafuna nchi, lakini sisi mtetezi wetu yu hai, na ataendelea kuwaumbua kama alivyowaumbua jangwani siku ya uzinduzi! ...tulitegemea wakati huu wawe wanaelezea walichofanya kwa miaka mitano iliyopita. Lakini hawana cha kuelezea, zaidi ya neno zaidi.. Zaidi ..zaidi fix tupu
 
Hivi hizi toilet paper za NHC bado ziko sokoni? Aisee nyie mnaozinunua mna roho ngumu kweli
 
Mgombea wenu kachafuliwa...msafisheni sio mnalia lia tu hapa
teh teh teh......
 
Mwenye data na azilete uwanjani tuone nani mchafu zaidi ya mwingine.
 
Yakizungumziwa maisha ya ndoa ya wagombea urais wote.......!
 
Mwenye data na azilete uwanjani tuone nani mchafu zaidi ya mwingine.

Naona tuzungumzie masuala ya kitaifa na si ya watu binafsi. Wacha wafu wazike wafu wao; na kuna msemo wa kiingereza usemao " Do not urgue with a fool, people may not notice the difference" Nawaasa CHADEMA na Wapenzi na Washabiki wao wapuuze gazeti hilo wasonge mbele na Mikakati yao ya kuushawishi umma wa wapiga kura wawachague period.
 
KWENYE TOLEO LA LEO LA GAZETI LA MTANZANIA LINALOMILIKIWA NA KAMPUNI ILIYO CHINI YA ROSTAM IMEJARIBU KUGUSA MAISHA BINAFSI YA NDOA YA DR SLAA,KIUJUMLA LENGO LA HABARI NI KUMDHARIRISHA DR SLAA MBELE YA UMMA,JE WANATAKA TUANZE KUCHOKOANA MAISHA BINAFSI YA WAGOMBEA NA UCHAFU WAO?WANACHOKOZA NYUKI JE WANAWEZA KWELI KUKIMBIA?MGOMBEA WAO ALITAMKA MBELE YA WATU KUWA ANA WATOTO NANE NA MKE MMOJA TU,JE WANATAKA NASI TUCHOKONOE ZAIDI?:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
Wameanza kumchokonoa wana hamu ya kuyasikia makombora yale 20 aliyobeba, lakini nafrahi kwa kufanya hivyo kuna uwezekano mkubwa sana wakamwongezea jingine la 21, na bado ataendelea kuyatunza mpaka pale atakapojisikia yeye kuyatoa!

 
Naona tuzungumzie masuala ya kitaifa na si ya watu binafsi. Wacha wafu wazike wafu wao; na kuna msemo wa kiingereza usemao " Do not urgue with a fool, people may not notice the difference" Nawaasa CHADEMA na Wapenzi na Washabiki wao wapuuze gazeti hilo wasonge mbele na Mikakati yao ya kuushawishi umma wa wapiga kura wawachague period.
Wakati mwingine ni jambo jema kujua upande wa pili wa hawa MAFISADI wanaoitafuna nchi kama wanavyojaribu kuchafua wenzao kwa kupitia vyombo vyao vya habari.Inawezekana maamuzi mengi yanatokana na vimada wao ndio maana bado nasisitiza kuwa mwenye data zao aziweke wazi tuwajue.
Naipenda nchi yangu ila sipo tayari kuona watu wachache wakitumia uwezo wao kuchafua watu wenye mapenzi mema na nchi hii.
 
Huyo ana uchafu zaidi ya huo uliripotiwa leo... Ukweli unauma!

Mkuu ina maana uozo wa Mbayuwayu huujui? Au ni ushabiki tu uliozibwa na kujazana na mtaji wa CCM.
Wakuu mimi inanisikitisha sana kuona CCM imefikia hatua imeteka hata wasomi wetu, engineers, advocates, to name few wamekuwa na fikira za siasa zake. Kufix na kuganga njaa ya leo leo tu.

Mkuu tuna heshima na Mbayuwayu tu, yeye ni worse case. Ukichanganya na wake wadogo aliooa baada ya uraisi ndo balaa kabisa!!!
 
Nadhani hata Mbayuwayu na team yake wameliona hilo, sijasikia wanam-attack Slaa kwenye hili. Si unajua "nyani haoni kund%l*" wapambe ndo wanaona, so lazima wamemuonya kwenye hili.

CHADEMA camp njua mnayo mengi hili si priority kwenu!
 
Nimesoma ujinga aliouandika mhariri wa gazeti la Mtanzania kuhusu Dk Slaa. Ni wazi hayo ni maelekezo aliyopewa kwa lengo la kumchafua Dk Slaa. Lakini iwapo Chadema watajibu mapigo na kuchambua uchafu wa kutisha wa mgombea wa CCM patatosha kweli? Watakuwa wavumilivu? Ngoja tusubiri. Hata hivyo, sisi wapiga kura hatuoni suala la kuacha mke na kuoa mwingine kama ni kashfa. Tutampigia kura mgombea ambaye tunaamini ana dhamiri ya dhati ya kupambana na ufisadi na anayejali maslahi ya Watanzania. Tunatambua kuwa ufisadi ndio adui namba moja wa Watanzania kwa sasa. Utawala wa awamu ya nne umewalea mafisadi na kuididimiza nchi kwenye dimbwi la umaskini. Tunasema: Kumepambazuka! Watanzania hawadanganyiki tena


Mkuu wanamuogopa Dr. Slaa huyo. Wanamuona kama Silaha A.K 47. Mbona hawaandiki ya kina Mzee wa Kiraracha, Lipumba, etc!! Kikwete mweneywe aligwaya aliposikia Dr. amejitosa. Ila akuanzaye na wewe mjibu tena kwa kombora!!! Ngoja basi tuanze kupekua na zile za mgonjwa wa kifafa halafu tuone.
 
Naamini kilichoandikwa siyo kazi ya RA, bali naamini ni kazi binafsi ya mhariri kilaza kwa jina la Deodatus Balile, akitaka kuyaiga yaliofanywa na Salva na timu yake wakati wa kampeni ya 2005 dhidi ya Dr.Salim.

Baada ya Salva kuyafanya aliyoyafanya, mambo yake yakawa safi, baada tuu ya mkulu kuingia magogoni, Salva huyo, akaula. Sasa huyu kilaza Balile anataka kuiga tembo ... kwa kujikomba komba kwa JK kwa staili ile ile akisubiri Salva apigwe ubalozini akiamini labda yeye ataitwa!.

Kwenye fani ya habari, jamani, hizi njaa zetu wakati mwingine zitatuua!. Hapa kwa wanafani, mheshimiwa sana Balile, amejidhalilisha japo nakizi alichoandika sio majungu, wala hakutunga bali ni hard facts ila tatizo ni jinsi alivyoziwasilisha ikiwemo kutaka kulisha watu maneno.

Credibility ya Magazeti ya Mtanzania, ilishashuka zamani wanachofanya sasa ni kuimalizia tuu, naomba mimi niwe wa kwanza kuitabiria Habari Corp kifo cha mende mara tuu baada ya uchaguzi kwa sababu wanamdhania RA ataendelea kubebwa ili na yeye awabebe, no way,
kwa vile itakuwa ndio term ya mwisho kwa mborongaji, atahakikisha haborongi tena ili aache legacy, with nothing to loose, wasitegemee tena kama atawategemea wapambe wa style ya RA, atawatosa ili angalau wasizidi kumchafua.

Kwa wale wenye mapenzi mema na Dr. Slaa, this is not a big deal, he is human, tit for tat za aina hii ni too low kwa mapambano ya kupigania maslahi ya taifa.

Balile ya timu yenu, endelezeni kazi nzuri mnayoifanya, your days are numbered na malipo ni hapa hapa duniani!.
 
Uzuri clouds coverage yake sio nchi nzima,alafu ni vijana tupu pale.
Ngawila izi jamani
 
Nimesoma ujinga aliouandika mhariri wa gazeti la Mtanzania kuhusu Dk Slaa. Ni wazi hayo ni maelekezo aliyopewa kwa lengo la kumchafua Dk Slaa. Lakini iwapo Chadema watajibu mapigo na kuchambua uchafu wa kutisha wa mgombea wa CCM patatosha kweli? Watakuwa wavumilivu? Ngoja tusubiri. Hata hivyo, sisi wapiga kura hatuoni suala la kuacha mke na kuoa mwingine kama ni kashfa. Tutampigia kura mgombea ambaye tunaamini ana dhamiri ya dhati ya kupambana na ufisadi na anayejali maslahi ya Watanzania. Tunatambua kuwa ufisadi ndio adui namba moja wa Watanzania kwa sasa. Utawala wa awamu ya nne umewalea mafisadi na kuididimiza nchi kwenye dimbwi la umaskini. Tunasema: Kumepambazuka! Watanzania hawadanganyiki tena
CCM wamevunja kanuni ya kampeni ya uchaguzi mkuu.
Inapaswa NEC watoe adhabu bila upendeleo. CHADEMA wanapaswa kutuma malalamiko kwa Makame
 
Gazeti la Mtanzania linapaswa kuweka wazi kwamba linam-support JK katika uchaguzi huu. Maadili yanataka hivyo ili wapiga kura wanaposoma porojo zao watambue kwamba wanaziandika kama wadau wa chama cha majambazi.
 
hahahahaha...dont make me laugh!usifikiri urais fanta passion.kama unafikiri anyone can be the president of this country then why usiombe uraia in one of the corrupted countries!JK is a brilliant president and he has shown change....slaa cant do it in a million years!
 
kama gazeti la nipashe,tanzania daima na television ya itv zinavyoipamba chadema mbona hamzungumzi?wewe unayosema chama cha majambazi ukimchunguza baba yako na babu yako utakuta wapo ccm na wewe mwenyewe unahaha kutafuta uanachama...tuna uhakika gani kama wewe sio jambazi?acheni kuwa na chuki na jazba.huyo dr slaa mwenyewe aliangushwa kwenye nec ccm ndio akajiunga na chadema so hakubaliki.!

"Dont bullshit a bullshiter"
 
Back
Top Bottom