Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Bandia je?Mimi![]()
Bandia je?Mimi![]()
kuna tofauti mtani kwani?Kuliko Kuwa mfu?
kumbe naogopa kuwa mfu mochwari wanakusagura sagura duh nisije nikaomba hela muhudumu ha ahaMaiti yaweza kuwa hata mnyama ila mfu ni binadamu
Papuchi yako itakuwa haina thamani tenanaogopa kuwa maiti
inakuuma etii..hahaha hakuna namna.Hata kwa pesa siendiiii,,niliwah simama mlangoni kwa nje nikaona kwa mbali zimepangwa wewe nilisisimkaaa mwili wote hadi jikataka kuangukaa![]()
weekend twende nukuchukue ziara
Nawe muoga?Hahahahaha lol! Nimecheka kama mazuri. Sikutaka kuifungua hii thread lakini nikasema nichungulie haraka haraka. Mie na baadhi ya threads za mshana jr mbali mbali kabisa! Huwa nazipita kwa mbaaaaali!
CC: Honey Faith
Chai kavu hiiiiKufanya kazi monchwar inaitaji ujasir sana binasfi nna kakaangu alikuwa anafanya kazi huko
Kila siku alikuwa ananiambia daaaaah ile kazi bila kuvuta mmea uwezi piga
Kuna maiti zinaletwa pale zaajabu
-zingine eti zinaamka zinafanya mazoezi zikimaliza zinakufa tena
-zingine ukiziangalia sana zinaamka zinakuuliza unamuangalia nani zingine zinakukonyeza
-zingine zilikuwa zinamuomba adi simu ziwapigie ndugu zao we acha tu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()