Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 687
- 1,090
Sikubaliani na Mshana, hakuna maiti inayofufuka, yani dactari amempima moyo umesimama, damu imeganda, ubongo umestop na viungo vyote havina mawasiliano, afufuke kweli? Hiyo nguvu ya kukukonyeza kunatoka wapi?Jamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile.
Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu.
[emoji87] [emoji85] ,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ?[emoji35] [emoji35] [emoji35] na nani?
Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote wapo kwenye kile chumba.
Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi.
Nikimkumbuka yale niliyokutana nayo wakati ule naona kabisa kuna mengi bado hatuyajui.
Uko sahihi lakini haiondoi ukweli wa hicho nilichoandikaSikubaliani na Mshana, hakuna maiti inayofufuka, yani dactari amempima moyo umesimama, damu imeganda, ubongo umestop na viungo vyote havina mawasiliano, afufuke kweli? Hiyo nguvu ya kukukonyeza kunatoka wapi?
Tunatahadhalishwa chumba chenye maiti usichukue kioo ukajiangalia,wanasema utakacho kiona usije kulaumu,Jamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile.
Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu.
[emoji87] [emoji85] ,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ?[emoji35] [emoji35] [emoji35] na nani?
Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote wapo kwenye kile chumba.
Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi.
Nikimkumbuka yale niliyokutana nayo wakati ule naona kabisa kuna mengi bado hatuyajui.
Ni kweli kabisa kuna taswira hujitokeza ghafla na kupotea nyuma ama mbele yako! Sasa kwa mbele imeshakuwa kama ni kitu cha kawaida maana huwatokea wengi hata majumbani na mitaani.. Shida ya taswira za nyuma hasa mochwari ni za wafu halafu zinatisha sana na hujitokeza na nguvu fulani hiviTunatahadhalishwa chumba chenye maiti usichukue kioo ukajiangalia,wanasema utakacho kiona usije kulaumu,
Hebu nisaidie kinachoonekana Ni Nini?
acha hizo mbwembwe, let me call justMtani nikikupigia mbona inakata?
Hata tobo la utamu c inakuwa ya baridi.